Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
- Thread starter
- #281
Bible code number 87:- KESE KESE KESE KESE
UNATUMIAJE
Kazi yake;- kuwa na spiritual connection pindi mke au mume atakua mbali
(Wimbo ulio bora 3:1-11)
- Sheria za ulimwengu wa roho zitakuwezesha kuwezesha kujenga connection ya mke/mme wako akiwa kuwa mbali
UNATUMIAJE
- Mwanaume-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka spiritual connection itakapokuwepo
- Mwanamke- unakua unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asijue) kwa imani na msisitizo mpaka spiritual connection itakapokuwepo