Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kwahiyo una Belelzebuli au? Kwa Ukristo wetu. Msingi upo Imara na hatuyumbishwi na hizi blah blah. Pole, hamuna anayekupinga ila kuutumia na kujificha kwenye mwamvuli wa Bible ndio unatukosea. We declare tu unafanya uchawi wa spell mkuu.Marko 3:22-30
22 Walimu wa sheria waliotoka Yerusalemu walikuwa wakisema, “Amepagawa na Beelzebuli, mkuu wa mashetani; na ni kwa uwezo wa Beelzebuli anawafukuza mashetani.”