Natumia Biblia kutatua changamoto

Natumia Biblia kutatua changamoto

NAMNA MUNGU ANAVYO WEZA JIBU MAOMBI YAKO BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE
  • Kama baada ya kutamka hizi code una-kifungo cha hofu endelea kutamka mpaka kiondoke na kije kifungo cha amani-hii ni moja ya ishara ya Mungu kujibu maombi yako au hitaji lako analifanyia kazi
  • Utaacha kutamka hizi code pale ambapo kiu ya kuzitamka haipo tena ndani yako ni ishara Mungu kujibu maombi yako katika ulimwengu wa roho na kwa mda wake utaona katika ulimwengu wa mwili
  • Mungu hajibu maombi kama unavyotaka bali anajibu anavyoona ni sahii kwako. Kuna watu baada ya kutamka hizi code Mungu ameshajibu maombi yao ila hawajajua kwa sababu wanataka Mungu awajibu kama wanavyotaka wao., jambo la kukumbuka ifanyie kazi fikra iliyokuja baada ya kutamka hizi code usiipuuzie hilo ndo jibu lako
  • Mungu anajibu maombi in an ugly way, awkward way na kwa namna usiyotarajia na usiyoipenda ila in long run utaona ile picha uliokua unaitaka kuiona kwenye hitaji lako mwanzoni
  • Mungu ni mara chache sana anatumia miujiza na ishara kujibu maombi yako., Ni mara nyingi sana na kawaida kutumia fikra zetu kujibu maombi yetu.
  • Sio kila hitaji unalomuomba Mungu atakujibu mengine atakataa usijisikie vibaya fahamu ni kwa faida yako
  • Kuomba hitaji kwa Mungu na akakujibu na ukapuuzia jibu la Mungu ukaendelea na mpango wako huo ni uasi sababu neno la Mungu ni sheria halitoki bure mfano umeomba mke/mme kwa Mungu amekuletea wewe umemuona sio mzuri au huna hisia nae ukaamua kuachana naye huo ni uasi na laana ya Mungu itakuandama maisha yako yote. Kuna baadhi ya mahitaji kabla hujamuomba au kumuuliza Mungu fikiria kwanza kwa sababu neno lake ni sheria na akiongea halirudi bure
 
Situmii hizo njia ulizoandika hapo, Ila ni sahihi kabisa kwamba Mungu huwa anajibu kupitia fikra unazozipata baada ya wewe kuzungumza nae....Nmefunuliwa mengi sana nsiyoyajua, kuhusu uchumi, Na maisha mengine kwa ujumla.
 
C mon bro, karne ya 21! Unataka kutatua shida za watu kwa kukalili biblia? Msongo wa mawazo,matatizo ya akili,hizi ni dalili za tatizo kubwa LA uchumi,
Kumuomba Mungu ni swala muhimu, hata tajiri kama bakhresa, au dangote, au diamond wote wanamuomba Mungu, na wametatua matatizo ya watu ya kiuchumi, nk, nyumba za ibada,na viongozi ww dini, wana tu fundisha na kutufafanulia Mambo ya kiroho, spirituality, vitu kama demons, spiritual staff, lakini Mambo ya kimwili kama cha kula, ajira hayatatuliwi na spiritual education,
We unafikri hii jamii forums, walioianzisha, waliomba Mungu ikatokea? walimuomba Mungu awape akili, ili ujuzi, wao watakachokifanya mtandaoni kifanikiwe,
Ukienda kanisani kuomba Mungu akupe kitanda na kabati,yeye atakupa miti, utumie bongo yako kutengeneza vitanda na makabati,
Chunguza Sana, "kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu, ndivyo wachungaji na makanisa ya kilokole yanavyoongezeka, "
Zamani vijana walikimbilia "U motivation speaker ship" Sasa hv kila kijana, anashona suti ana kuwa pastor, ndipo kwenye maokoto"
Huko utaambiwa, leta kucha na nywele, ziombewe!
Ukristo unatumika Ku tafuta pesa za kuishi.
Inaonekana hauna unachoelewa mkuu, Pole ndugu yangu...Jitahidi upate elimu SAHIHI ya kiroho
 
Bible code number 129:- MENE PESE METE TEKELI
Kazi yake;- Mungu kukupa fikra za kumtafuta mtu wako wa karibu aliyepotea
(Lika 15:4-6, Mathayo 18:12)​
Mungu atakupa fikra za namna ya kumpata mtu aliyepotea​
  • Mtoto mdogo
  • Mtu mzima
  • Rafiki yako
  • Jirani yako
UNATUMIAJE
  1. Mtu aliyepotea-Unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapo kupa-fikra za kumtafuta mtu aliyepotea na hatimaye kumpata
(Unataja majina yake-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
Bible code number 130:- TELE PERESI TEKELI MENE
Kazi yake;- Mungu kukuonyesha ubunifu alichoachilia kwenye sector ya energy
(Mwanzo 1:14-15)​
  • Re-design diesel engine which will not release pollution
  • Reduce half-life of radioactive waste as a way of encourage widespread adoption of nuclear energy
  • Others
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapo-huisha fikra zako
(Majina yako matatu na field uliyochagua kwenye energy-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)

  1. Kumuombea mtu mwingine-unatamka majina yake na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka Mungu atakapo-huisha fikra zako
(Majina matatu ya unayemuombea na field uliyochagua kwenye energy-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
BIBLE CODE NI BURE HAZIUZWI
Bible code nazoshare huku zimekua manufactured kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia. Bible code nazotoa ni bure haziuzwi gharama ni iman na subira yako.
 
Bible code number 13:- RESE MENE MENE PERESI
Kazi yake;- kukupa tafsiri ya ndoto ambayo imekua ikijirudia rudia
(Mwanzo 41:1-25, Daniel 2:1-45)​
Kama ndoto haipo kwenye zile ambazo tumezitolea maelezo​
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa msisitizo na imani mpaka Mungu atakapokupa tafsiri ya ndoto
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa iman na msisitizo mpaka Mungu atakapo kupa tafsiri ya ndoto aliyoiota mara nyingi
(Majina yake matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
 
MAJIBU BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE
Majibu Mungu atakayokupa kwa asilimia 99 ni kuhuisha fikra zako, yaani utapewa maarifa ya kupambana na changamoto inayokukabili, na asilimia 1 tu atatumia miujiza., kwa hiyo usitegemee sana miujiza bali tegemea wazo kutoka kwa Mungu litakalokuvusha.
 
MAJIBU BAADA YA KUTAMKA BIBLE CODE
Majibu Mungu atakayokupa kwa asilimia 99 ni kuhuisha fikra zako, yaani utapewa maarifa ya kupambana na changamoto inayokukabili, na asilimia 1 tu atatumia miujiza., kwa hiyo usitegemee sana miujiza bali tegemea wazo kutoka kwa Mungu litakalokuvusha.
Je kutamka kwa mdomo ni vibaya?
 
Sishauri hili kwa yeyote niliwahi jaribu kwa formulae nyingine never try this, nakumbuka nilipiga kelele usiku kwa miale ya radi iliyokuwa ikinipitia karibu, kwa kishindo, huku nikiangalia viumbe wenye mabawa wakiimba mfululizo bila kusimama, hallelujah hallelujah, hapa ndipo nilipojifunza mungu hupendezwa zaidi kwa wanaomtukuza kwa masaa 24 bila kuchoka mfululizo miaka kwa miaka.
Ulitamka code ukamuona Malaika?
 
Acha kukariri maisha nipo tayari nipigwe ban ya maisha kama hiyo account ni ya kwangu,mimi nimesapoti kwasababu nimekipenda anachokifanya basi!
Huyo jamaa wivu unamsumbua mara nyingi mtu anapofanya jambo jipya ambalo halikuwepo lazima baadhi ya watu wamuonee wivu
 
Ulitamka code ukamuona Malaika?
Bible code number 131:- LENE TEKELI TEKELI LENE
Kazi yake;- Kumuomba Mungu kuona utukufu wake
(Waamuzi 13:8-20)​
  • Kumuona Yesu kwa macho ya kibinadamu
  • Kumuona malaika wa bwana kwa macho ya kibinadamu
  • Kujua aina tofauti-tofauti za malaika na kazi zake
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa msisitizo na imani mpaka Mungu atakapokuonyesha utukufu wake
(Jina lako-unataka kumuona Yesu-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na kama ukiendelea ni vizuri)

(Jina lako-unataka kumuona malaika-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na kama ukiendelea ni vizuri)

(Jina lako-unataka kujua kazi za malaika-unatamka mara tatu tu)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na kama ukiendelea ni vizuri )
 
Bible code number 55:- PERESI MENE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Yesu kutoa mapepo/majini yanayomsumbua mtu
(Luka 8:26-32)
  • Unasumbuliwa na majini mahaba
  • Ugonjwa wa ajabu uliosababishwa na majini
  • Kichaa kilicho sababishwa na majini
  • Utahira uliosababishwa na majini
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-unatamka jina na bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina alafu zinafuata bible code kimoyo moyo kwa pamoja baada ya mara tatu unaendelea na bible code peke yake kwa dakika 15 kwa siku au nazaidi ukiamua (kwa siri jirani yako asisikie) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)

MUHIMU
Ukishatoa sumu ya kulogwa hakikisha unabatizwa na Yesu kwa Roho mtakatifu na moto kupitia foundation bible code X na Yesu kukutawadha kupitia foundation bible code XX
 
Bible code number 55:- PERESI MENE TEKELI PERESI
Kazi yake;-Yesu kutoa mapepo/majini yanayomsumbua mtu
(Luka 8:26-32)
  • Unasumbuliwa na majini mahaba
  • Ugonjwa wa ajabu uliosababishwa na majini
  • Kichaa kilicho sababishwa na majini
  • Utahira uliosababishwa na majini
UNATUMIAJE
  1. Binafsi-Unakua unatamka kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
(Majina yako matatu-unatamka mara tatu tu kwa siku)unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
  1. Kumwombea mtu-unatamka jina lake alafu zinafuata code kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mpaka majini yatakapoondoka
(Majina matatu unayemuombea/uhusiano wako na yeye-unatamka mara tatu tu kwa siku) (unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)

MUHIMU
Ukishatoa sumu ya kulogwa hakikisha unabatizwa na Yesu kwa Roho mtakatifu na moto kupitia foundation bible code X na Yesu kukutawadha kupitia foundation bible code XX
Mtumishi, mtu akiwa na jini mwilini, anatakiwa kutamka haya maneno? Au kuna code nyingine?
Asante kwa kujibu maswali ya awali.
 
Back
Top Bottom