RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Asante.Ndo hizo hizo hakuna nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante.Ndo hizo hizo hakuna nyingine
Bible code number 39:- MENE MENE MENE TESE
Kazi yake; Mungu kukuonyesha fulsa ambazo watu wengine hawazioni kwenye nyakati ngumu(Mwanzo 26:18-24)UNATUMIAJE
- Kwenye biashara yako
- Kwenye kazi yako ya kuajiriwa
(Aina ya biashara unayofanya/aina kazi unayofanya-unatamka mara tatu tu kwa siku)(unatamka bible code angalau dakika 15 kwa siku na ukiendelea ni vizuri)
- Unakua unatamka kimoyo moyo angalau dakika 15 kwa siku (na zaidi kama ukiweza) kwa imani na msisitizo mda wowote ule mpaka utakapoona fulsa
CODE [emoji1] HIVI MNAELEWA VIZURI MAANA YA ULIMWENGU WA ROHO
ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU BILA KUCHOKA UKIANZA KUOMBA KWA KUFUATA CODE HUTOBOI
SILAHA KUBWA KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU TENA UOMBE BILA KUCHOKA UWE KAMA MTU ANAE ONGEA NA UPEPO AU KAMA KICHAA YANI UOMBE MPAKA SHETANI AJUE HUYU NI CHIZI SIMUWEZI [emoji23][emoji23]
ILA TUKIANZA KUFUATA CODE TENA WAKUU MIMI NIMEKAA PALE [emoji117]
HAMNAGA CODE KATIKA ULIMWENGU WA ROHO NI KUOMBA TU NA KUFUNGA.
Bible code number 63:- MENE MENE LEPE LEPENahitaji ya kusamehe na kuwa na amani