Natumia samsung ya mkopo mkiona sipo hewani mjue sina 1500 ya rejesho

Last time kumsoma huyu mdau humu alikuwaga na uzi wake wenye page zaidi ya 91 akilalamika umri kumtupa mkono akiuona uzee akiwa single kumbe alikuja kuokota dodo chini ya mnazi?
Hmm sijawahi kuuona, inawezekana ila sijui mkuu..
 
bwashee taratibu bwashwee, mwamba anasaka tu cheap attention kamanda
kwani atakuwa kidume mwenzangu ee? ajie tu kwamba sijaleft. eti ananiita dogo!! ooh kwana ana miaka 60?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…