Natumia samsung ya mkopo mkiona sipo hewani mjue sina 1500 ya rejesho

Utasikia we shuka kwenye basi, njoo upande wa kulia, nimevaa wigi kama la Mange Kimambi. 😁
Unakutana na Seran mwenyewe, unasema mtume roho yangu mie..😁
Tena kama mimi,😆 wacha nikae anonymous tu ni msiba🙆🏽‍♀️

Unaweza ukakimbia usigeuke nyuma😅
 
Alikimbia au ulikimbia😆
 
Mi sikukimbia, lakini yeye picha aliyokuwa nayo juu yangu ni tofauti. Ni mambo ya mitandao haya. 😁
Facebook mwanzoni, mwanzoni pale watu walishalizwa sana. 😁
Umenikumbusha fb bwana nilikuwa nachat na kijana, ile sauti yake ndio namvalisha uhusika tunaongea tunapendana na hatujawahi kuonana mpk tunaachana😆 siku ya siku nakuja kuona picha yake baada ya miaka mingi nilijilaumu sana😄
 
Ukawa unapenda kwa "imagination" 😁
Mtu anaongea kama Prezzo, sasa uje ukutane au umuone. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…