Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Mtoa post endelea kutetea ushoga, mambo ya dini achana nayo, yatakupotezea muda wako tu.
 
Jitu limetoka kupakuliwa huko, linakuja kukashfu dini ya mwenyezimungu.
 
Haya kazi kwenu wavaa Makobazi......
 
Okay nimekuelewa, iko hivi vitabu vilivyoteremeshwa kwa wanaadamu ni vinne kwa kauli fulani na wengine huzidisha sahifa za ibraahiym na musa amani iwe juu yao.Vitabu hivi viliteremshwa kwa lugha ya wahusika wake yaani kwa lugha ya walioteremeshiwa mfano torati iliteremshwa kwa musa kwa lugha ya kihebrania, zaburi iliteremshwa kwa daudi kwa lugha ya kihebrania na injili iliteremshwa kwa issa kwa lugha ya kihebrania sasa utaona kila mmoja aliteremshiwa kwa lugha yake na hili limebainishwa katika quran pale allah Ψ¬Ω„Ω‘ و ΨΉΩ„Ω‰ aliposema: "Na hatukumtuma mtume yeyote isipokuwa kwa lugha ya jamaa zake ili apate kuwabainishia...." al ayah..
Quran 14:4

Sasa hawa walitumwa makundi maalumu ya wana wa israeli na walipelekwa kwa lugha zao, tukija kwa kesi ya quran hii imeteremshwa kwa muhammad alayhi ssalaam ambaye ni mwarabu na jamaa zake walikuwa waarabu tena walio fasaha mno na wajuzi wa lugha hii quran ikateremshwa katikati yao kwa lugha fasaha mno kuliko ile waliyokuwa wakijisifu nayo wao, lakini mtume muhammad hakuja kwaajili ya waarabu peke yao yeye ametumwa kwaajili ya watu wote na hatokuja tena mtume mwingine mpaka qiyama kisimame sasa swali la kujiuliza kwanini imekuja kwa kiarabu wakati watu wengine wanazungumza lugha nyingine? jibu la mwanzo tunalitoa kwenye quran yenyewe, anasema allah hali ya kuwa ametukuka:

"Hakika sisi tumeiteremsha Qur'ani hali ya kuwa ni ya kiarabu ili mpate kuelewa"
Quran 12:2

Sasa turudi kwenye point yetu, dunia nzima inakiri kuwa hakuna lugha iliyo tajiri kwa upande wa misamiati, ufasaha na utukufu kama lugha ya kiarabu na hili liko wazi hata ukigoogle utajionea kwenye kiarabu kuna utajiri na ufasaha wa hali ya juu, kwa hilo imekuwa wepesi mkubwa kuitafsiri quran kutoka kwenye kiarabu kuja lugha nyingine jambo ambalo lisingewezekana kama ingekuwa kinyume chake kutokana na uchache wa misamiati kwenye lugha nyingine, kwa hilo allah akaiteremsha quran kwa kiarabu kwaajili ya watu wote.

Nadhani nimekujibu.
 
Injili ni neno la lugha gani?
 
torati iliteremshwa kwa musa kwa lugha ya kihebrania, zaburi iliteremshwa kwa daudi kwa lugha ya kihebrania na injili iliteremshwa kwa issa kwa lugha ya kihebrania
Vitabu vya Allah vipo wapi
.Daudi muislamu na zaburi yake ya waislamu IPO wapi?
.injili ya muislamu Isa ipo wapi?
.torati ya Musa muislamu ipo wapi ?

Je Kuna history yoyote awa waislamu waliwahi kuwepo ?
 
Vitabu vya Allah vipo wapi
.Daudi muislamu na zaburi yake ya waislamu IPO wapi?
.injili ya muislamu Isa ipo wapi?
.torati ya Musa muislamu ipo wapi ?

Je Kuna history yoyote awa waislamu waliwahi kuwepo ?
Mkuu acha kujiress twende taratibu, sisi waislamu tumetajiwa mitume 25 kwenye quran akiwemo mtume daudi na tunamuamini na kumswadikisha kuwa alikuwa ni mtume na ujumbe wake ni wa haki, na vivyo hivyo mitume wote waliotajwa na wasiotajwa.
Sasa kama kuna versions mbili za mitume hilo ni katika yale nisiyoyajua.

Ama kuwahusu hao mitume wametajwa kwa wingi kwenye quran na ujumbe wao pamoja na maliwazo mengi kuhusu yale waliyopitia zikiwemo aya hizi:

"Na hizo ndizo hoja zetu tulizompa ibrahim juu ya jamaa zake, tunamnyanyua daraja {cheo, utukufu, hadhi}yule tunayemtaka, hakika mola wako ni mwenye hekima, mwenye elimu."

"Na tukamtunuku {ibrahim} ishaqa na yaakub, kila mmoja wao tulimwongoza, na nuhu tulimwongoza kabla, na katika kizazi chake tulimwongoza daudi na suleymani na ayubu na yusuf na musa na harun, na kama hivi tunawalipa watendao mema"

"na zakaria na yahya na iysa{yesu} na ilyasa, wote walikuwa miongoni mwa watu wema."


"Na ismail na alyasaa na yunus na lutu, na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote."
Quran 6:83-86

Hawa na wale wasiotajwa sisi tunawaheshimu na kuwatukuza na tunawazingatia ni waja wema na walikuja na ujumbe kwetu kwa tofauti ya zama na nyakati.

Nadhani nimekujibu.
 
Issa bin maryam(a.s) siyo nabii(kiongozi) wetu, nabii wa umma huu ni Muhammad s.a.w.

Ila tunamtambua kuwa ni miongoni mwa manabii, waliotumwa na Mwenyezi mungu, akawe nabii(kiongozi) kwa wana wa israel, kiswahili kingine aende kuwaongoa wana wa israel.
 
Kwa hiyo akirudi cheo Cha nabii mnakifuta
 
Jibu Aya maswali

Vitabu vya Allah vipo wapi
.Daudi muislamu na zaburi yake ya waislamu IPO wapi?
.injili ya muislamu Isa ipo wapi?
.torati ya Musa muislamu ipo wapi ?
 
Kwa hiyo akirudi cheo Cha nabii mnakifuta
Usikaze kichwa, shida una yako kichwani.
Nimekwambia alitumwa kwa wana wa israel, nabii wa umma huu ni Muhammad.
Issa bin maryam atarudi kwa mambo mawili, kubwa kabisa ni kutimiza wajibu wa kufa, kila nafsi itaonja mauti.
Na kummaliza masih dajjal.. Hatokuja kutangaza neno, unajua kazi ya nabii? Kama hatangazi neno, kukataza maovu na kufundisha mabaya anakuwaje nabii?
 
Isa sio nabii ndio umeitimisha

Na wala sio mtume wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…