We kilaza kweli, yaani Point inapinga Hoja yako unaona kama nakusuport?
Wewe ndio kilaza. Ume sapoti hoja yangu bila kujua kama una sapoti.
Dini YAKo inasema Kitabu cha dini YAKo ndio kina muongoza mwanadamu namna ya kuishi.
Ila nature inasema DNA ndio inayo muongoza mwanadamu jinsi ya ku behave...
Dna ndio ina waongoza wanyama na viumbe wengine wote jinsi ya kubehave.
Nyati hali nyama.sio KWA sababu anaogopa dhambi ya kuua la hasha bali kwa sababu dna yake ndio inayo muongoza vitu GANI vya KULA n.k
Kumbe BASI hata mwanadamu hakuhitaji Kitabu chochote ILI kimuelekeze kwamba " kumuua binadamu mwenzako ni vibaya"n.k.
Ni dna ndio inayo mdictate mwanadamu jinsi ya kuishi jinsi ya ku behave etc.
Babu zetu waliishi Afrika KWA zaidi ya miaka bilioni mbili. Qur'aan ina.miaka.1500.
KWA miaka yote hiyo DNA ndio ilikuwa ina wa dictate namna ya kuishi na namna ya kubehave.
Ndio maana mpaka leo hii tupo apa tunabishana.
Vinginevyo wange go into extinction
Habari za Kitabu kum dictate mwanadamu ni uongo...