Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Tena hicho kitabu chenye script zinazoandikwa kutoka kulia kwenda kushoto hakina chochote cha maana ukisoma kitabu chenye title kama how to become rich au how to live a healthier life unaweza kupata kitu kuliko kwenye hicho kitabu
 
Sawa wewe sio dhaifu sasa kaa bila kula au kulala usingizi halafu utupatie mrejesho.
Huo sio udhaifu. That is strength.

Mwisho wa siku utasema hata rijali kusimamisha amuonapo mwanamke nusu uchi ni udhaifu.

Mkuu dini zime haribu sana akili za watu
 
"Na lau tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyotoka kwangu: Kwa yakini nitaijaza jahannamu kwa wote hawa, majini na watu."
32:13
Mungu hawezi kuwawazia viumbe wake mawazo maovu kiasi hiki.

HII aya inatumiwaga na walokole wanao amini uislamu ni dini ya majini na mkuu wa majini na hiyo aya Wana sema ni mkuu wa majini anasema atawapeleka motoni watu wengi ambao watamfuasa.

Don't quote this ayat again
 
Mungu hawezi kuwawazia viumbe wake mawazo maovu kiasi hiki.

HII aya inatumiwaga na walokole wanao amini uislamu ni dini ya majini na mkuu wa majini na hiyo aya Wana sema ni mkuu wa majini anasema atawapeleka motoni watu wengi ambao watamfuasa.

Don't quote this ayat again
okay i won't.
 
We jamaa siku nyingi tu nishakuona hamnazo kupitia thread zako na comments zako


Hapo una maanisha kwamba taarifa za kwenye thread HII ni kubwa kuliko uwezo wa akili yako katika kupokea taarifa.


Ushauri wangu kwako: PANUA UWEZO WA AKILI YAKO KUPOKEA TAARIFA.

Narudia tena.

Panua
Panua
Panua.

HII hoja yangu alishindwa kuijibu mjomba wangu Ustaz Mazinge itakuwa wewe mjinga mjinga mmoja.


Panua mkuu
 
Hapo una maanisha kwamba taarifa za kwenye thread HII ni kubwa kuliko uwezo wa akili yako katika kupokea taarifa.


Ushauri wangu kwako: PANUA UWEZO WA AKILI YAKO KUPOKEA TAARIFA.

Narudia tena.

Panua
Panua
Panua.

HII hoja yangu alishindwa kuijibu mjomba wangu Ustaz Mazinge itakuwa wewe mjinga mjinga mmoja.


Panua mkuu
Tuwapuuze wajinga tu
 
1. Iweke sawa.

2. Kati ya kitabu na binadamu nani muongozo kwa mwenzie? Ikiwa ni kitabu basi ndi maana kimekamilika kinamuongoza huyu asiyekamilika(binadamu)
Kwanini Mungu aumbe binadamu asiyekamilika? Ili iweje?
Au ndo ili atende dhambi mwishowe amchome moto? Anapata faida gani sasa
 
Unapigania maisha wee ili uende ukapewe pisi mbinguni. Katika vitu vyoooote vyamaana na vya heshima akili ikaishia kwa pisi .
Mwanamke akapewe wa kumpiga ndonga kila akigeuka.

Hivii kama manzi jamaa ake alikufa akaolewa kama mara 5 wakafa wote na yeye akafa..Huko majamaa watakuwa wakipiga mtungo au vipii??
 
We kilaza kweli, yaani Point inapinga Hoja yako unaona kama nakusuport?
Wewe ndio kilaza. Ume sapoti hoja yangu bila kujua kama una sapoti.

Dini YAKo inasema Kitabu cha dini YAKo ndio kina muongoza mwanadamu namna ya kuishi.

Ila nature inasema DNA ndio inayo muongoza mwanadamu jinsi ya ku behave...

Dna ndio ina waongoza wanyama na viumbe wengine wote jinsi ya kubehave.

Nyati hali nyama.sio KWA sababu anaogopa dhambi ya kuua la hasha bali kwa sababu dna yake ndio inayo muongoza vitu GANI vya KULA n.k


Kumbe BASI hata mwanadamu hakuhitaji Kitabu chochote ILI kimuelekeze kwamba " kumuua binadamu mwenzako ni vibaya"n.k.

Ni dna ndio inayo mdictate mwanadamu jinsi ya kuishi jinsi ya ku behave etc.

Babu zetu waliishi Afrika KWA zaidi ya miaka bilioni mbili. Qur'aan ina.miaka.1500.

KWA miaka yote hiyo DNA ndio ilikuwa ina wa dictate namna ya kuishi na namna ya kubehave.

Ndio maana mpaka leo hii tupo apa tunabishana.

Vinginevyo wange go into extinction




Habari za Kitabu kum dictate mwanadamu ni uongo...
 
Nimejua kwamba nimeumbwa na Mungu kupitia :


1. My third brain ( it is known as Subconscious Brain or Subconscious Mind)

I have downloaded the message from the universal mind. Everything about everything that humans need to know is in the universal mind...


2. By studying the nature.


3. Sijazaliwa taburalasa. Nimezaliwa tayari Mungu akiwa ame print this information in my dna.

Sikuwahi kufundishwa kudindisha nikimuona mwanamke yupo nusu uchi.

Ila ulipofika wakati wa kufanya hivyo nolijikuta nadindisha tu.

Alienifundisha kudindisha. Alienifundisha kukunja ngumi. Alienifundisha kukimbia kwenye hatari.Alie nifundisha kunyonya, alienifundisha kuweka CHAKULA kupitia mdomoni, Alienifundisha kuogopa giza nikiwa mtoto mchanga etc ndio alienifundisha " subconsciously" kwamba Mungu yupo na kwamba mimi nimeumbwa na Mungu
1. Third brain? Scientifically not proved hakuna kitu kinaitwa third brain na unayoita subconcious brain ni part ya mind ,kama haujui mind ni abstract thing na brain ni physical thing in my experience kwenye hii field of science ni kwamba SOMETHING ABSTRACT CAN NOT BE PROVEN BY SCIENTIFIC APPROACH hence hata existence ya hiyo 'subconcious mind' kama ulivyoiita ni more controversial prove me wrong.

2. Naam hata ALLAH (the exalted one) ametuambia tuangalie mazingira ila tuweze kutambua uwepo wake zipo sura nyingi mnoo ameelezea jinsi nature inavyotambulisha uwepo wake ni wewe tu kutafuta , na nimefurahi umetumia mfano huu 😅😅.

3. Naona una base na dotrinw of innatism ila nikuulize swali vipi unawesa kunitajia mtoto yoyote mchanga aliyezaliwa anaongea? If the info is there?

Final verdict?
Haujajibu bado swali langu maana umeegemea zaidi upande wa dini hasa uislamu na pia scientific evidences ulizoweka hazina proofs na weakness nyingi please naomba jibu langu mkuu
 
Back
Top Bottom