HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Haitafika hukoKwa mahesabu hayo kutoka Dar hadi Mwanza kwa SGR nauli itakuwa 500,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitafika hukoKwa mahesabu hayo kutoka Dar hadi Mwanza kwa SGR nauli itakuwa 500,000
Tatizo watu wanataka walazimishe kila kitu kiwe bei ya kila mtuNi sawa tu. Maana tofauti kati ya treni ya Umeme na ndege ni mwendokasi na njia inayotumika. Maana wanaotakiwa kupanda hizo treni ni wale wenye haja ama sababu ya kwenda kwa kasi kuliko mabasi, Kama huna haraka hakuna sababu za kupanda treni hizo.
Basi tuhamie KenyaHi project ya sgr haikufanyiwa feasibility study au upembuza ya sanifu, haiwezakani hiyo nauli izidi ya basi, wakati tulikua tunahitaji mbadala wa bei ya chini wa kutumia mabasi na maroli.
Imagine SGR ya Kenya nauli kutoka mombasa hadi Nairobi 600km ni sh 1000 ya Kenya sawa sawa na 19,000 ya Tz itakua je kutoka Dar - Moro 180km iwe shilling 34,000 kwa hiyo itakua na comparative advantage kwetu.
Treni ya Umeme haina kawaida ya kuvuta wagons nyingiUnajua hii ni train ?; Unajua ni kiasi cha kuongezea behewa tu, kwahio hao watu hata mkitaka mkodi behewa kwa milioni tano ili msafiri peke yenu / peke yako nadhani its possible ?
Shida unaangalia mambo kwa mafungu na sio kwa ujumla..., hao masikini / wanyonge unaowaita huenda kwa kuweza kutoka moro na matenga yao ya nyanya kwa bei nafuu ikakusaidia wewe na familia yako kiafya kwa kupata chakula kwa bei nzuri zaidi na fresh zaidi ili uendelee kupanda train kwa kujinafasi..., Pia hio Train imefadhiliwa na kodi za hao hao pia so called wanyonge
Afu hii treni haijatengenezwa ili ibebe watu milioni 61Kama 500 tu inawashinda watu nauli na wapo mjini, kihehere cha nini kukaa dar kufanya Kazi Moro kama ujimudu kiuchumi.
Ndio maana hata vilio vyetu kuhusu ugumu wa maisha hawavijali. Nauli waliyopanga tu ni ushahidi hawajali shida zetu!Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo.
Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini.
--
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhusu nauli za abiria kwa treni ya njia ya Reli ya Kisasa – ‘Standard Gauge Railway’ (SGR) zitakavyotumika kwa huduma ya usafiri wa treni za abiria.
Kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria Na. 3 ya LATRA, 2019 Mamlaka inapaswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia uamuzi wa kuridhia viwango vya nauli kwa huduma zinazodhibitiwa na Mamlaka ikiwemo nauli za treni.
Katika kulitekeleza hilo, Mamlaka imeandaa mkutano wa kupokea maoni ya wadau wa usafirishaji, ikiwa ni pamoja na watoa huduma, watumiaji wa huduma na wananchi kwa ujumla. Mkutano utafanyika tarehe 19 Disemba 2022 jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Anatorglo.
Nauli zinazopendekezwa na TRC ni Kama ifatavyo:
View attachment 2440636
View attachment 2440637
Kutokana na umuhimu wa mkutano huo, LATRA inawaalika wadau wa sekta ya reli na wananchi kwa ujumla kushiriki katika mkutano huo wa kukusanya maoni ya wadau.
Vilevile, wadau wanaweza kuwasilisha maoni yao kwa Mkurugenzi Mkuu kwa maandishi kupitia LATRA Makao Makuu, Mtaa wa Tambuka Reli, Dodoma au ofisi za LATRA zilizopo Makao Makuu ya kila mkoa Tanzania Bara kabla ya tarehe 3 Januari 2023.
Aidha, maoni ya wadau yanaweza kutumwa kwa barua pepe kupitia anuani hizi: info@latra.go.tz na dg@latra.go.tz
Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano – LATRA
06 Disemba, 2022
We baba yako atakuwa fisadiHizi nauli ni bei rahisi sana. Sijui kwa nini mnalalamika?
Badala ya huduma kuanza kabla ya Xmas wao wataanza January '23! Muda huo watu watakuwa hoi! Watu gani watapanda treni kuzurura? Halafu time table vipi? Sio nilipie nauli Tsh 70k Dar - Moro kwa masaa 3 badala ya Tsh 15-20k ya basi muda huo huo!Hata kama ni mapendekezo sidhani kama mlifikiria au kuwaza kwa kinagaubaga, huko Anatorglo mnaenda kupaka mafuta ili kung'arisha hiyo nauli na si vinginevyo.
Ukute mmeshaandaa wazungumzaji wenu wa kutetea hiyo nauli na hapo ndiyo watakuwa wengi ukumbini.
--
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imepokea maombi kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuhusu nauli za abiria kwa treni ya njia ya Reli ya Kisasa – ‘Standard Gauge Railway’ (SGR) zitakavyotumika kwa huduma ya usafiri wa treni za abiria.
Kwa mujibu wa Kifungu Na. 21 cha Sheria Na. 3 ya LATRA, 2019 Mamlaka inapaswa kukusanya maoni ya wadau kabla ya kufikia uamuzi wa kuridhia viwango vya nauli kwa huduma zinazodhibitiwa na Mamlaka ikiwemo nauli za treni.
Katika kulitekeleza hilo, Mamlaka imeandaa mkutano wa kupokea maoni ya wadau wa usafirishaji, ikiwa ni pamoja na watoa huduma, watumiaji wa huduma na wananchi kwa ujumla. Mkutano utafanyika tarehe 19 Disemba 2022 jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Anatorglo.
Nauli zinazopendekezwa na TRC ni Kama ifatavyo:
View attachment 2440636
View attachment 2440637
Kutokana na umuhimu wa mkutano huo, LATRA inawaalika wadau wa sekta ya reli na wananchi kwa ujumla kushiriki katika mkutano huo wa kukusanya maoni ya wadau.
Vilevile, wadau wanaweza kuwasilisha maoni yao kwa Mkurugenzi Mkuu kwa maandishi kupitia LATRA Makao Makuu, Mtaa wa Tambuka Reli, Dodoma au ofisi za LATRA zilizopo Makao Makuu ya kila mkoa Tanzania Bara kabla ya tarehe 3 Januari 2023.
Aidha, maoni ya wadau yanaweza kutumwa kwa barua pepe kupitia anuani hizi: info@latra.go.tz na dg@latra.go.tz
Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano – LATRA
06 Disemba, 2022
Ndiyo kwa sababu kila aina ya usafiri ina gharama tofauti ya uendeshaji!Kwan nauli inategemea aina ya usafiri
Swali ni kwamba hayo mapendekezo waliyafikia vipi? Siamini kama ni bahati mbaya.Hiyo ni bei ya nauli walizopendekeza wao trc then latra watakusanya maoni ya wadau ili wacrosscheck pande zote kupata bei sahihi ya mlaji. Kama mlaji napendekeza nauli ya dar moro iwe 6000
Swali halielewekiSwali ni kwamba hayo mapendekezo waliyafikia vipi? Siamini kama ni bahati mbaya.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wagogo wakisoma nauli ya Bahi naona wote watahamia Chadema safari hii
Ni kazi zipi hizo mkuu ambazo wafanyakazi wake wanaweza kuishi moro wakati kazi zinafanyika dar?Myopic thinking hivi unajua sio ajabu kwa mtu kukaa morogoro na kufanya kazi Dar ? , Usafiri ukiwa rafiki hii inaweza ikawa safari ya mtu kila siku kwenda na kurudi
Dar - Moro haitapungua masaa mawili! Tatizo hii nchi maswala ya kitaalamu huwa yanazungumzwa na wanasiasa wasiojua kitu..Badala ya huduma kuanza kabla ya Xmas wao wataanza January '23! Muda huo watu watakuwa hoi! Watu gani watapanda treni kuzurura? Halafu time table vipi? Sio nilipie nauli Tsh 70k Dar - Moro kwa masaa 3 badala ya Tsh 15-20k ya basi muda huo huo!
Ni kitu gani ambacho ni hindrance ya mtu kukaa point A na kufanya Kazi point B..., Kama kuna usafiri unadhani kuna shida gani ya mtu kukaa popote pale na hii inapunguza population density kubwa sehemu mojaNi kazi zipi hizo mkuu ambazo wafanyakazi wake wanaweza kuishi moro wakati kazi zinafanyika dar?
Aisee! Basi sawa mkuu wangu..Ni kitu gani ambacho ni hindrance ya mtu kukaa point A na kufanya Kazi point B..., Kama kuna usafiri unadhani kuna shida gani ya mtu kukaa popote pale na hii inapunguza population density kubwa sehemu moja
Dar - Mwanza 32 by Fast jet enzi hizoHizo bei sio kubwa endapo muda utazingatiwa
Maaan kama una haraka n nzur sana sasa hzo naul znafkia za ndege?