Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

watalii wameongezeka na nauli lazima ziongezeke kukuza...
 
kama kuna sehemu ya kuhamia uenjiy maisha n zanzibar mkuu
 
Kwa nini usafiri wa train zakisasa hauanzi? Au tunasubiri wenye mabasi wamalize marejesho ya mikopo yao?
 
Kwa nini usafiri wa train zakisasa hauanzi? Au tunasubiri wenye mabasi wamalize marejesho ya mikopo yao?
Mkuu ukitaka seryikali ifanye biashara unafeli sana kwani hatuna mfumot mzuri wa ajira.

Nisikilize:
Wenzetu majuu wanauamini sana mfumo wa serikali kutoa huduma ya usafiri lkn tofauti yetu na wao ni hii;

1. Uchumi wa mwananchi hauathiriki kwasababu mfumo wao w ajira uko vizuri yaani watu wengi wana ajira...hii hupelekea mzunguko wa fedha/pesa kuwa mzuri.

2. Tanzania ikiwa serikali itajikita kufanya biashara, tutakufa njaa kwani pesa nyingi zikiingia kwenye mfumo rasmi wa serikali mzunguko wa pesa utakuwa mbovu kuliko.

Kwanini?
Ajira ni hafifu...ni sawa na maji mengi yaingie ziwani lakini hakuna mkondo wa kuyavuna maji kwa matumizi ya binadamu.

3. Biashara huria hustawisha uchumi kwa vile huajiri watu wengi zaidi
 
Mtazoea ndo kauli mbiu ya CCM
 
Nauli za usafirishaji wa umma hudhibitiwa hata ulaya. National express hajipandishii nauli ki- holela kule Uingereza na kwenye City Councils na London Boroughs zote, hupangiwa nauli himilivu kufatana na uchumi wa sehemu husika.
 
Nauli za usafirishaji wa umma hudhibitiwa hata ulaya. National express hajipandishii nauli ki- holela kule Uingereza na kwenye City Councils na London Boroughs zote, hupangiwa nauli himilivu kufatana na uchumi wa sehemu husika.
Tatizo huku humo Ratla kuna wakubwa wana miliki daladal na wanapewa rushwa na wenye mabassi
 
Hapana Hawa wahusika waliangalie hili suala ni hatari
 
Wasafirishaji kama wanakomoa wananchi,ni hatari
Kwenye hili msije walaumu wafanyabiashara hata kidogo sababu wao wanacheza mziki mnaopiga ninyi raia.

Sasa mlitaka serikali ipandishe gharama za mafuta na mambo mengine halafu wao wazibebe huku ninyi mkiendelea kuishi as if hamuelewi kinachoendelea ni nini?

Hapa naomba kabisa tusiwabebeshe lawama.
 
Mama SAMIA amekuja kuwa matacle kabisa why hajali kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…