Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Hv hata zenjibar ni hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapangiwa kikomoDawa ni kuongeza tu, tunaouza nyanya, maembe, vitunguu n.k tuongeze beiiiiiiiiiii.
ThubuthuHv hata zenjibar ni hivyo?
Kwa nini usafiri wa train zakisasa hauanzi? Au tunasubiri wenye mabasi wamalize marejesho ya mikopo yao?Kila siku tunalia unyonge unyonge.
Si tuache kusafiri?
Hao wasafirishaji wako na mikopo mikubwa ya magari.
Vipuli kodi juu, wataendeshaje hizo biashara na kulipa mikopo?
Unyonge na uhalisia...unyonge hauna nafasi.
Tanzania ina watu legelege na kutska huruma mchana kutwa.
Ukiona wenye magari wanafaidi nawe pambana ununue bus uanze usafirishaji
Hata hao wamiliki wa hayo mabasi ni wananchi pia..
Mkuu ukitaka seryikali ifanye biashara unafeli sana kwani hatuna mfumot mzuri wa ajira.Kwa nini usafiri wa train zakisasa hauanzi? Au tunasubiri wenye mabasi wamalize marejesho ya mikopo yao?
Mtazoea ndo kauli mbiu ya CCMTunaiomba mamlaka husika kulitizama hili kwani vigezo vilivyotumika havifahamiki ukizingatia mafuta yameshuka bei kwa shs 200/-
MAMLAKA HUSIKA USAIDIENI UMMA HUU WA WANYONGE,SHUSHENI NAULI NA ONGEZENI SHS 50/- KWA NAULI ZA MIJINI, INAUMIZA MNO.
#Based on town trips!
Na sio nauli / safari za mikoani.
Wenye mabasi ni wananchi pia...
Nauli za usafirishaji wa umma hudhibitiwa hata ulaya. National express hajipandishii nauli ki- holela kule Uingereza na kwenye City Councils na London Boroughs zote, hupangiwa nauli himilivu kufatana na uchumi wa sehemu husika.Dunia haiko hivyo mkuu, tunazidi kuleta siasa kwenye masuala nyeti.
Unyonge wako hauna uhusisno na mtu mwenye mķopo mkubwa bank akanunua mabus halafu ukamdhibiti kwenye nauli.
Kuwa na bus sio utajiri bali huo nao ni ujasiria mali.
Mbona wauza mazao na mitumba hawadhibitiwi bei?
Tunawakandamiza na kuwafilisi watoa huduma za usafiri.
Kumbuka nje ya siku za wanafunzi kurudi shule na msimu wa mwisho na mwanzo wa mwaka wenye abiria wengi, wakati uliosalia hakuna abiria mabus yapo tupu je watajiendesha je?
Mimi sina basi lkn naiona taabu yao.
Poleni,magu alikuwa dikteta lakini asingekubari huu upuuzi wa nauli kupandishwa kiholela kisa tu kwenye hizo taasisi kuna wakubwa nao wana miliki vyombo vya usafiriNanjilinji
Tatizo huku humo Ratla kuna wakubwa wana miliki daladal na wanapewa rushwa na wenye mabassiNauli za usafirishaji wa umma hudhibitiwa hata ulaya. National express hajipandishii nauli ki- holela kule Uingereza na kwenye City Councils na London Boroughs zote, hupangiwa nauli himilivu kufatana na uchumi wa sehemu husika.
Aisee,wamejiongezea 250Bunju to makumbusho sh.1100
Nikimkuta Lucas Mwashambwa na nyoka namuua Lucas Mwashambwa namuacha nyoka aende.Lucas mwashambwa alishirikishwa[emoji4]
Kwenye hili msije walaumu wafanyabiashara hata kidogo sababu wao wanacheza mziki mnaopiga ninyi raia.Wasafirishaji kama wanakomoa wananchi,ni hatari