Hii imekaa vizuri, NAULI ZA SAMIA.Jina jipya la nauli mpya ni kwamba ni nauli za Samia, wanadau tulimchsgua wenyewe, i ngawa ukweli ni kwamba kadondokewa na bahati. Ila ukweli kipindi cha Samia wamepandisha nauli mara 2 au 3 hivi, na wanatarajia mwakani wqpandishe muda kama huu tena hii ndio makubaliano yao na Latra.
Nauli kupanda sio tatizo ila tatizo ni kuoanda kwa gharama za maisha, na hawana mpango wa kushusha hizi gharama zaidi ya wao wenyewe kuneemeka. Raia nao wanangoja labda Mbowe na familia yake waandamane kuwatetea wa wakiwa wamelala.
Endeleeni kufaidi nauli za Samia.
ya kilo moshi arusha ilikuwa 4000. cross ndo 3000.Ni balaa tupu mkuu, nimepanda Moshi - Arusha badala ya 3,000 sahivi ni 5,000
Hizi nauli za SAMIA?Kuna jamaa katoa nauli karudishiwa chenji kidogo akaona haijatimia kdg amuharibu konda meno ya sebuleni
hamia kijichi ndugu mwenyekitiMvuti - Kariakoo, jana nilipanda kwa 1100
Leo ni 1400
Kazi nzuri toka kwa Mama
huko nitakuwa tempted na kutoka chamani fasta maana nyama kila konahamia kijichi ndugu mwenyekiti
Pia tunamshukuru mama kwa kuanzisha jamii forum hata instagram ameiboresha sana.Pongezi nyingi sana ziende kwa mama, kamati kuu ya chama, bunge letu tukutu kwa hakika wanaupiga mwingi sana.
Nauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupi
yan ww syo kwamba wewe unaishika hiyo milion moja kwa mwez bas wengine wanashika hapana maisha syo sawa em kakojoe ukalale kulinganisha maisha yako na wengine ni upuuzNauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupiga mwingi tuwape maua yao.