Gharama za uendeshaji ziko juu sanaa.....mafuta yamepanda sana spare ndio usiguse....nauli ilitakiwa ipande mwaka sasa....mafuta yamepanda mwaka sasa
Unaufahamu utaratibu uliopo kisheria unaohusu ushirikishwaji wa wadau wa usafiri? Ni wazi utaratibu huo ulifuatwa na hivyo hakuna namna inabidi tukubaliane na hizo nauli mpya.
Bi domo kaupiga mwingi kila secta! Tumwongezee mitano!
kanaitwa KAWAIDA, kameletwa toka pemba .Uvccm ya Yule mtoto urojo urojo au ipi?
😂😂😂😂😂Gharama za uendeshaji ziko juu sanaa.....mafuta yamepanda sana spare ndio usiguse....nauli ilitakiwa ipande mwaka sasa....mafuta yamepanda mwaka sasa
Bila shaka madereva na makonda watapandishiwa hesabuHivi madereva, kondakta na wamiliki hili ongezeko mmelipokeaje?
Huko wanajipimia tu kulingana na hali ya hewa+muonekano wa abiriaVipi nauli za bodaboda na bajaji? Hakuna mwongozo wowote?
Alafu hata wala hastuki yy anaona poa tu. Mama mimi nikiwa kama mshauri nakuomba useme neno. Huku chini hali ni mbaya usijitenge sana na wananchi wa chini wapiganie. Usiwe na hofu na uchaguzi ccm wanashindaga miaka yote. Hata msipofanya kampeni bado mtashinda.Huyo Maza hatufai kwakweli, ni mbinafsi na mtu wa kupenda kiki
🤣Pongezi nyingi sana ziende kwa mama, kamati kuu ya chama, bunge letu tukutu kwa hakika wanaupiga mwingi sana.
Tupo wachache tunaostuka, ila wasiostuka ni wengi sana hao ndio wale mbumbumbu wategemea misaada ya mama ilhali hiyo misaada ni pesa zao walizokatwa na mama (kodi)Alafu hata wala hastuki yy anaona poa tu.
[emoji1787][emoji1787]Tushirikishwe sie kama nani, sisi ni VIZALALA tu nchi hii, wenye nchi wameamua, mtu asiyetaka twende burundi.
Huu ujinga watz ndio tunautaka.. Kadri siku zinavyokwenda hali inakuwa tete.
Ni kama vile unavyotaniana na mtoto, akakushika ndevu, atakupiga kibao unamchekea, atakuti kidole cha jicho unamchekea, ipo siku atakushika kalio mbele za wageni.