ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hamia ambako gharama za maisha zinashukaAliyekudanganya nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia ambako gharama za maisha zinashukaAliyekudanganya nani?
Acha upumbavu wewe,Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo ya mwanao Huwa unalipia?Hata huku application fees vyuoni ... Tatizo mnakua machawa tu huku vichwani hamna kitu
Acha upumbavu wewe,Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo ya mwanao Huwa unalipia?
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732818503969685762?t=w0ICedK-yGiYhGz-AfpcWw&s=19
Acha upumbavu wewe,Kwa hiyo ukitaka kupata matokeo ya mwanao Huwa unalipia?
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732818503969685762?t=w0ICedK-yGiYhGz-AfpcWw&s=19
Ulalamishi umezidi,hamia huku 👇Ulianza kwenye application fee sasa umesharukia kwenye matokeo baada ya kubanwa
Tanzania hakuna chuo ambacho hakina application fees
Naunga mkono hoja,Nchi hii watu wamezidi sana ulalamishi usio na msingi.
Laiti kama Watanzania wangekuwa hapo Kenya wangekoma maana Hadi kulima mpunga unatakiwa upate kibali kwanza baada ya kulipa 😂😂
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732019629659173047?t=BZ9-AexuLElvw3lpkJOk0g&s=19
Tumepewa tu taarifa hatujashirikishwaUzi bila picha ni majungu tu
Acha kuingiza siasa kwenye kila kitu.Mbona mafuta Huwa yanashuka kama yalivyoshuka sasa? Mbona Serikali imeboresha mambo mengi yenye kuleta nafuu ya Maisha?
Duh...Gharama za maisha zinapanda na Huwa hazishuki ndio mfumo wa Maisha Duniani kote.
Gharama za uendeshaji zipo ,akina abood kila siku wanatoa vyuma tu.Gharama za uendeshaji ziko juu sanaa.....mafuta yamepanda sana spare ndio usiguse....nauli ilitakiwa ipande mwaka sasa....mafuta yamepanda mwaka sasa
Hahahaas in fulaniz voiceKama hutaki nauli mpya, fungasha nguo zako uhamie BURUNDI
Kwamba ww raia huna haki ya kutoa maoni ? Kisa mafuta yamepanda ndo itoshe kusema bei zipande ? Je hakuna namna ya kudhibiti upandaj wa bei wa mafuta au kudhibiti sababu nyingine chochez kupanda kwa nauliUnaufahamu utaratibu uliopo kisheria unaohusu ushirikishwaji wa wadau wa usafiri? Ni wazi utaratibu huo ulifuatwa na hivyo hakuna namna inabidi tukubaliane na hizo nauli mpya.
Mimi ninachojua kwenye suala la kupanda nauli taasisi inayosimamia usafiri wa mabasi (LATRA) uwa haipangi nauli kiholela tu pasipo kufuata utaratibu uliopo kisheria. Utaratibu huo utakuwa unahitaji upokeaji wa maombi ya kupandisha nauli kutoka kwa watoa huduma (wenye mabasi) wakiwa wametoa sababu za kuomba kupandisha nauli na pia LATRA kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuitisha mkutano na watoa huduma, LATRA consumers consultative council ambalo usimamia haki za wapewa huduma (wasafiri),Kwamba ww raia huna haki ya kutoa maoni ? Kisa mafuta yamepanda ndo itoshe kusema bei zipande ? Je hakuna namna ya kudhibiti upandaj wa bei wa mafuta au kudhibiti sababu nyingine chochez kupanda kwa nauli
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app