Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaaaaaBi domo kaupiga mwingi kila secta! Tumwongezee mitano!
Bongo kikubwa Uhai 2KIZIMKAZI hana muda na Watanganyika. Majizi yanajipangia nauli tu. YY anasubilia majanga ndio atulie ndani y nchi. Kama majanga hakuna anasepa majuu huku anawachia wajipigie.
Last time nauli imepanda mafuta both diesel na petrol yalikuwa yanauzwaje kwa litre? Kiukweli gjaram zimepanda sana, mtu mpaka unaanza kuhisi gari imeharibika kumbe ni bei ya weseSipingi kupanda sababu ni kweli baada ya muda lazima kutakuwa na mabadiliko ya bei, ila navyoona kiwango kimekuwa kikubwa sana kwa ghafla, ingeongezeka kidogo ni gnumu hata kuyaona machungu
In short huyu maza 2025 hatufai kwa kweli may b akaiyongoze KIZIMKAZI....USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli.
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa kati ya Watoa Huduma na Wadau wa Usafiri (Wananchi).
Jaribu tuu Kuwa mkweli. N muhimu sana. Jobless na wamemaliza vyuo tena vya maana zaid yako na wana ufaulu wa zaidi yako wanaonekana kama wasaliti kwenye famlia zao. Hoyo millioni unayosema naamini kwa commwnt hyo hata wewe hujawai itumia au ipata kwa mwezi. Ni vile tyuu kuna target ya kuonekana sehem flan unapopajua unailenga. Nachoamini n kuwa Maisha yet n magumu kwahyo tuvumiliane kwa hali tuliyonayo kwenye transition periodNauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupiga mwingi tuwape maua yao. Chaajabu Bei ya Mafuta imeshukaa.
Na ww utarudi tuu tena kwa miguuKama hutaki nauli mpya, fungasha nguo zako uhamie BURUNDI
Umeongezewa ww na sio wote wanafanya kazi serikalini kumbuka kuna watu weng wamemaliza chuo awana kwa hiyo maisha unayo ishi ww sio wote tunaishi na ww ungekua auna kazi usinge Sema mama ako anakupiga mwingiJaribu tuu Kuwait mkweli. N muhimu
Yaan ww unaongea utaila kabisa yaan hiyo milioni moja unawapa ww kichwa kama drum ya HOWO wwNauli ni rafiki sana hasa ukizingatia tumepandishiwa mshahara, hakuna mtanzania aneishi kwa chini ya milioni moja kwa mwezi, hakika serikali ya mama inaupiga mwingi tuwape maua yao. Chaajabu Bei ya Mafuta imeshukaa.
Yaan ww unaongea utaila kabisa yaan hiyo milioni moja unawapa ww kichwa kama drum ya HOWO ww
Mwananchi aliyeshirikishwa tafadhali ajitokeze hapa hadharani, tungefurahi kuona walau wananchi watano tu wanajitokeza hapa hadharani.
Lucas mwashambwa alishirikishwa[emoji4]Mwananchi aliyeshirikishwa tafadhali ajitokeze hapa hadharani, tungefurahi kuona walau wananchi watano tu wanajitokeza hapa hadharani.
Wasafirishaji kama wanakomoa wananchi,ni hatariTunaiomba mamlaka husika kulitizama hili kwani vigezo vilivyotumika havifahamiki ukizingatia mafuta yameshuka bei kwa shs 200/-
MAMLAKA HUSIKA USAIDIENI UMMA HUU WA WANYONGE,SHUSHENI NAULI NA ONGEZENI SHS 50/- KWA NAULI ZA MIJINI, INAUMIZA MNO.