Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Hakuvitaka mwenyewe usiziamini sana hizi stori za vijiweni. Amin alitaka kutufanyia ubabe ikala kwake.
Sio kweli, amin sio mjinga kushindana na li inchi likubwaaa, ilikuwa planned lazima aondolewe na yeye alijua kuwa ataondoka ila hakukubali kuondoka kizembe, akijitetea akashindwa na akawapisha wenye nguvu, ila laana yake inaendelea mpaka leo na hata milele
Hatuna mbele hatuna nyuma
Tupo tupo tu miaka 45 leo
 
K

Kabla ya kueleza matokea ilibidi ueleze chanzo,unajua jamii forum ni zaidi ya shule,hatutakiwi na sisi tuwe sehemu ya kuopotosha jamii,huku tunajua ukweli
Mkuu hilo la chanzo cha vita ya Uganda ni mada tosha, na inaweza hata kuiondoa mada yako uliyoianzisha.
Sisi wengine tumeishi hiyo vita.
 
Awamu ya pili mpaka ya sita zinafanya kazi gani?. Ni uvivu wa kufikiri kila kitu kumtupia lawama Nyerere wakati wapo waliomfuatia katika nafasi ya urais.
Sekondari za wazazi zilianza kujengwa awamu ya tatu,awamu ya nne ikajenga sekondari lukuki, awamu ya pili isingeweza kuhangaika na shule maana nchi ilikua shaghala baghala, awamu ya tano na sita zimejenga mno shule,yeye kama mjenga msingi kwa nini alipuuzia elimu badala yake akatia nguvu harakati za ukombozi kusini mwa africa?
 
NNh

HHe

Hebu nikuulize kulikuwa na Sababu gani ya Tanzania kuingia Vitani na Uganda
Hili ni swali la kipuuzi kabisa.
Yaani hujui?
Wewe unadhani nchi kuingia vitani ni jambo dogo linaloweza kufanyika bila sababu?

Sasa nikuulize wewe, kwa sababunaona tayari unazo sababu zako za kipuuzi kuhusu vita hiyo.
Hivi nyinyi watu akili zenu mmezificha wapi?
 

Ukikosea msingi, jengo haliwezi kuwa madhubuti kabisa
unahisi ungeishi Dar ya wazaramo bila Nyerere kupave njia ya kuondoa ukabila na udini ?

Unahis Nyerere alikuwa na kipato na nguvu gan kuondoa matatizo you tuliyo nayo ?

HIZI NI AKILI ZA UOMBA OMBA , UNATAKA KILA KITU UFANYIWE NA MTU MMOJA , INGEKUWA HIVYO BAADA YA KUONDOKA BASI TUSINGEKUWA NA RAIS TENA
 
Sio kweli, Umbwe, Minaki, Iliboru, na nyingine nyingi zilikuwepo tangu awamu ya kwanza. Forodhani na nyingine za Dar pia zilikuwepo. usisahau juu ya umuhimu wa JKT iliyokuwepo kila mkoa na ya lazima kwa kila mtu kwenda.

Ilijenga taifa la wakakamavu wenye utayari wa kuishi kwa heshima tofauti na miaka ya sasa hakuna heshima yoyote ya kijamii.
 
Acheni kusherehekea ile 14 /10 ndio tutajua mumedhamiria kuendelea.

vinginevyo mtaendelea kutawaliwa na nyerere mpaka kiyama
 
ila watu weusi , wajinga mpo wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…