Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Hakuvitaka mwenyewe usiziamini sana hizi stori za vijiweni. Amin alitaka kutufanyia ubabe ikala kwake.
Sio kweli, amin sio mjinga kushindana na li inchi likubwaaa, ilikuwa planned lazima aondolewe na yeye alijua kuwa ataondoka ila hakukubali kuondoka kizembe, akijitetea akashindwa na akawapisha wenye nguvu, ila laana yake inaendelea mpaka leo na hata milele
Hatuna mbele hatuna nyuma
Tupo tupo tu miaka 45 leo
 
K

Kabla ya kueleza matokea ilibidi ueleze chanzo,unajua jamii forum ni zaidi ya shule,hatutakiwi na sisi tuwe sehemu ya kuopotosha jamii,huku tunajua ukweli
Mkuu hilo la chanzo cha vita ya Uganda ni mada tosha, na inaweza hata kuiondoa mada yako uliyoianzisha.
Sisi wengine tumeishi hiyo vita.
 
Awamu ya pili mpaka ya sita zinafanya kazi gani?. Ni uvivu wa kufikiri kila kitu kumtupia lawama Nyerere wakati wapo waliomfuatia katika nafasi ya urais.
Sekondari za wazazi zilianza kujengwa awamu ya tatu,awamu ya nne ikajenga sekondari lukuki, awamu ya pili isingeweza kuhangaika na shule maana nchi ilikua shaghala baghala, awamu ya tano na sita zimejenga mno shule,yeye kama mjenga msingi kwa nini alipuuzia elimu badala yake akatia nguvu harakati za ukombozi kusini mwa africa?
 
NNh

HHe

Hebu nikuulize kulikuwa na Sababu gani ya Tanzania kuingia Vitani na Uganda
Hili ni swali la kipuuzi kabisa.
Yaani hujui?
Wewe unadhani nchi kuingia vitani ni jambo dogo linaloweza kufanyika bila sababu?

Sasa nikuulize wewe, kwa sababunaona tayari unazo sababu zako za kipuuzi kuhusu vita hiyo.
Hivi nyinyi watu akili zenu mmezificha wapi?
 
Hapa Mzee Mwinyi ndiyo aliyefungua inchi kutoka kwenye umasikini wa kutupa,yaani kila kitu kilikuwa kibaya,mfano ilikuwa kawaida ukashinda stand ya basi mpaka siku 3 sababu hakuna usafiri unakotaka kwenda na tiketi umeshakata, no kampuni ilikuwa ni moja tu us mabasi Railway,huo mda hakuna guest mnashinda mmelala stand, hii inchi tumshukhuru

Ukikosea msingi, jengo haliwezi kuwa madhubuti kabisa
unahisi ungeishi Dar ya wazaramo bila Nyerere kupave njia ya kuondoa ukabila na udini ?

Unahis Nyerere alikuwa na kipato na nguvu gan kuondoa matatizo you tuliyo nayo ?

HIZI NI AKILI ZA UOMBA OMBA , UNATAKA KILA KITU UFANYIWE NA MTU MMOJA , INGEKUWA HIVYO BAADA YA KUONDOKA BASI TUSINGEKUWA NA RAIS TENA
 
Sekondari za wazazi zilianza kujengwa awamu ya tatu,awamu ya nne ikajenga sekondari lukuki, awamu ya pili isingeweza kuhangaika na shule maana nchi ilikua shaghala baghala, awamu ya tano na sita zimejenga mno shule,yeye kama mjenga msingi kwa nini alipuuzia elimu badala yake akatia nguvu harakati za ukombozi kusini mwa africa?
Sio kweli, Umbwe, Minaki, Iliboru, na nyingine nyingi zilikuwepo tangu awamu ya kwanza. Forodhani na nyingine za Dar pia zilikuwepo. usisahau juu ya umuhimu wa JKT iliyokuwepo kila mkoa na ya lazima kwa kila mtu kwenda.

Ilijenga taifa la wakakamavu wenye utayari wa kuishi kwa heshima tofauti na miaka ya sasa hakuna heshima yoyote ya kijamii.
 
unahisi ungeishi Dar ya wazaramo bila Nyerere kupave njia ya kuondoa ukabila na udini ?

Unahis Nyerere alikuwa na kipato na nguvu gan kuondoa matatizo you tuliyo nayo ?

HIZI NI AKILI ZA UOMBA OMBA , UNATAKA KILA KITU UFANYIWE NA MTU MMOJA , INGEKUWA HIVYO BAADA YA KUONDOKA BASI TUSINGEKUWA NA RAIS TENA
Acheni kusherehekea ile 14 /10 ndio tutajua mumedhamiria kuendelea.

vinginevyo mtaendelea kutawaliwa na nyerere mpaka kiyama
 
Tanganyika packers ya mzungu,aliitaifisha na ikamfia,umeorodhesha viwanda vya nguo,lakini watanzania walitembea uchi, viraka vitupu,walivaa magunia kipindi chake,hivyo viwanda vilizalisha nini!?..unaijua sukari guru?..ulifulia majani ya mpapai na mirenda kwa kuwa sabuni hakuna!?
ila watu weusi , wajinga mpo wengi sana
 
Back
Top Bottom