Duh! Tundu Lisu anaweza kupindu maujinga aliyotuachia NyerereWatu wenye roho mbaya ndivyo walivyo uwa wanajijali wenyewe tu na wanapenda sifa na kuabudiwa na ndivyo hali ilivyo hivi sasa nchini mwetu,
Nyerere anaabudiwa kuliko Mwenyezi Mungu aliyetuumba,kila kitu utasikia Mwalimu alisema!
Angalia hata Muungano tulionao ulistahili kabisa muundo wake kupitiwa upya lakini ni kama vile kila kiongozi anaogopa kuchokonoa jambo hilo kwani anaona atauudhi mzimu wa Nyerere sasa labda tusubiri hadi vile vizee vyote vinavyomuabudu huyo bwana mkubwa vife vyote.
Umenena vema👏🏽👏🏽👏🏽Kama ulizaliwa mwaka 1970 basi by 1985 Nyerere akitoka madarakani ulikuwa na miaka 15.
Hukuwa na akili ya kujua mambo. Endelea kujuzwa na waliokuwepo ili uelimike.
Hakuna Tanzania yenye utulivu huu tulionao bila mchango mkubwa wa baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere
Yaani wewe mpaka 15yrs of age ulikuwa hujitambui!!Kama ulizaliwa mwaka 1970 basi by 1985 Nyerere akitoka madarakani ulikuwa na miaka 15.
Hukuwa na akili ya kujua mambo. Endelea kujuzwa na waliokuwepo ili uelimike.
Hakuna Tanzania yenye utulivu huu tulionao bila mchango mkubwa wa baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere
Acha shobo siongei na wewe au umedata
Mimi siyo wa 2000,ukome na ushike adabu yako mbwa wewe.Wewe wasema. Shida vijana wa 2000 mnataka kujifanya wakuaji kuliko hata walikuwepo kipindi Cha Nyerere.
Hawa wajinga wapigaj wa pesa za umma lazima wamlaumu Nyerere.Kila kiongozi ana mazuri na mabaya yake. Nadhani Nyerere angechagua ubepari kipindi kile , Leo tungekuwa nchi ya hovyo Sana. Bora kwa Sasa tumeingia ubepari kwa hatua hivyo madhara yake tunayaona kwa Sasa kuliko tungeanza kutaona 1965.
Sio wa 2000,ukome na ushike adabu yako mbwa wewe.
Hapa Mzee Mwinyi ndiyo aliyefungua inchi kutoka kwenye umasikini wa kutupa,yaani kila kitu kilikuwa kibaya,mfano ilikuwa kawaida ukashinda stand ya basi mpaka siku 3 sababu hakuna usafiri unakotaka kwenda na tiketi umeshakata, no kampuni ilikuwa ni moja tu us mabasi Railway,huo mda hakuna guest mnashinda mmelala stand, hii inchi tumshukhuru sana Mzee MwinyiMwalim alipoachia uñataka kusema na waliofuatia nao nchi iliwashinda!? Maana speech zako zinaonesha nchi Iko palepale.
Hawa wajinga wapigaj wa pesa za umma lazima wamlaumu Nyerere.
kwasasa tuna zaid ya watz 10% ambao ni homeles , vijana wanaangamia na madawa , uharifu unakithiri na umaskini umeshamir , miji imejengwa hovyo , kila mradi unatuletea deni na mradi haumaliz miaka 5 unakuwa umeharibika huku riba ya deni imepanda , jeshi la polisi limekuwa ndo wauaji na watekaji , wanajeshi wamekuwa walevi , watumishi wa umma wanatafuta pa kuiba kwenye miradi ya umma au ofisi za umma , ccmu kazi kubwa ni kukopa na kula pesa za mikopo huku watz wengine ndo tunabeba mzigo
HAWA WAJINGA WANATAKA YOTE HAYA ANGEYATATUA NYERERE ILIHALI YALIANZA BAADA YA NYERERE KUFARIKI
NB.TANZANIA ILIKUWA NCHI YENYE HESHIMA UKANDA WA KUSINI , MASHARIKI NA KATI YA AFRIKA ENZI ZA UTAWALA WA NYERERE.
NYERERE ALIWEZA KUDHIBITI
1.RUSHWA
2.UWAJIBIKAJI WA WATUMISHI WOTE HADI MAWAZIRI
3.GAP LA WASIOKUWA NACHO NA WALIONACHO
4.UFISADI WA MIRADI YA UMMA
5.UKABILA
6.UDINI
7.KUTUNZA VIWANDA VILIVYOACHWA NA WAKOLONI
8.KUTUNZA MIRADI ILIYOACHWA NA WAKOLONI IKIWEMO RELI ILA MWINY ALIKUJA KUUA AU KUPAVE WAY YA KUUA
9.NYERERE ALIWEKA MBELE NA SIO FAMILIA YAKE KAMA ILIVYO SIKU HZ
MSISAHAU ENZI ZA NYERERE
1.KULIKUWA NA WASOMI WACHACHE
2.BADO SEHEM KUBWA YA NCHI ILIKUWA DUNI KIFIKRA NA KIUCHUMI
3.PIA WALIOKUWA WAKOLONI WALIKUWA NA USHAWISHI MKUBWA KWENY NCHI ZETU SO VIONGOZ WETU HAWAKUWA NA MAAMUZ HURU KWA 100%
4.BILA KUSAHAU TULIKUWA NDO TUMEPATA UHURU SO TULIKUWA NA CHANGAMOTO NDOGO NDOGO NYING AMBAZO ILIKUWA MUHIMU KUZITATUA KABLA YA KUKIMBILIA FYLOVER MF UKABILA , UDINI , UJINGA , KUPUNGUZA TOFAUTU YA WASIOKUWA NACHO NA WALIOKUWA NACHO , KUILETA JAMII PAMOJA NA KUANZA KUJENGA MSINGI WA KESHO
5.NJIA ZA MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZILIKUWA DUNI SO ILIKUWA NGUMU KUFANIKISHA JAMBO KWA MUDA MFUPI
Mimi siyo wa 2000,ukome na ushike adabu yako mbwa wewe.
Nakubaliana nawewe sehemu nyingi hasa, umaskini uliopo sasa bongo ni sababu ya Nyerere kukurupuka kuanzisha sera ya ujamaa ambao hakuuelewa kabisa!! English si lugha yetu kuingia chaka ni dkk sifuri na ndiyo maana wazungu hawakumuelewa Nyerere na alipoandika vitabu vyake wakasema aseme ujamaa sababu anachoandika si socialism ya Karl Marx wao yenye mfuatano sahihi wa modes of production!! 1. 1. Primitive communalism,Watu wenye roho mbaya ndivyo walivyo uwa wanajijali wenyewe tu na wanapenda sifa na kuabudiwa na ndivyo hali ilivyo hivi sasa nchini mwetu,
Nyerere anaabudiwa kuliko Mwenyezi Mungu aliyetuumba,kila kitu utasikia Mwalimu alisema!
Angalia hata Muungano tulionao ulistahili kabisa muundo wake kupitiwa upya lakini ni kama vile kila kiongozi anaogopa kuchokonoa jambo hilo kwani anaona atauudhi mzimu wa Nyerere sasa labda tusubiri hadi vile vizee vyote vinavyomuabudu huyo bwana mkubwa vife vyote.
Hapo umemjibu nani? Halafu kama baba yako anafirwa usifikiri wanaume wote wapo hivyo,endelea kutukana.Stress za kuachwa na Mme wako unaletea watu. Ninamjibu mwingine wewe ndio unajipendekeza. Stupid idiot.
Wewe ni mshenzi,tayari nimekuonesha aliyenijibu ila endelea tu na ujuwaji wako.Mbwa mwenyewe, nani kakujibu wewe?.
Kulikuwa na ulazima wa kuingia vitani kukomboa mkoa wa kagera ambao iddi amini aliuteka.Kulikuwa na sababu ya kuingia vitani? tufafanulie
Hakuna anayelialia tunajiribu kutafakali no kuchambua pale walipikosea Viongozi wetu
Kulikuwa na sababu ya kuingia vitani? tufafanulie
Hakuna anayelialia tunajiribu kutafakali no kuchambua pale walipikosea Viongozi wetu
Alikuwa na sababu nyingine zilizomsukuma kuingia vitani ambazo hakutaka kuziweka bayana bila shaka.Kulikuwa na ulazima wa kuingia vitani kukomboa mkoa wa kagera ambao iddi amini aliuteka.
Kwa mtazamo wangu Nyerere aliikuza sana ile vita kulikuwa hakuna ulazima wa kuivamia Uganda manake Iddi Amini aliondolewa kirahisi Kagera vita ingeishia hapo na Nchi isingeingia gharama kubwa tungebaki kuimarisha ulinzi mpakani Kagera.
Mleta Mada ni tutusa na mbwiga fulani hiviMiaka yote hii umekuwa mtu mzima; na sijui kama hata shule ulikwenda, bado hata akili ya kutafuta taarifa mwenyewe huna?
Unaeleza umezaliwa miaka ya 1970. Sasa wewe kama mtoto hayo mambo uliyajuaje?
Tueleze ulipata utapia mlo ndiyo maana akili yako ikadumaa kiasi hiki?
Ni waTanzania wangapi walikufa njaa wakati huo, unajuwa? Je, Ethiopia na hapo Kenya, nako Nyerere aliwanyima chakula watu wa huko waliokuwa wakifa kwa njaa?