Kila kiongozi ana mazuri na mabaya yake. Nadhani Nyerere angechagua ubepari kipindi kile , Leo tungekuwa nchi ya hovyo Sana. Bora kwa Sasa tumeingia ubepari kwa hatua hivyo madhara yake tunayaona kwa Sasa kuliko tungeanza kutaona 1965.
Hawa wajinga wapigaj wa pesa za umma lazima wamlaumu Nyerere.
kwasasa tuna zaid ya watz 10% ambao ni homeles , vijana wanaangamia na madawa , uharifu unakithiri na umaskini umeshamir , miji imejengwa hovyo , kila mradi unatuletea deni na mradi haumaliz miaka 5 unakuwa umeharibika huku riba ya deni imepanda , jeshi la polisi limekuwa ndo wauaji na watekaji , wanajeshi wamekuwa walevi , watumishi wa umma wanatafuta pa kuiba kwenye miradi ya umma au ofisi za umma , ccmu kazi kubwa ni kukopa na kula pesa za mikopo huku watz wengine ndo tunabeba mzigo
HAWA WAJINGA WANATAKA YOTE HAYA ANGEYATATUA NYERERE ILIHALI YALIANZA BAADA YA NYERERE KUFARIKI
NB.TANZANIA ILIKUWA NCHI YENYE HESHIMA UKANDA WA KUSINI , MASHARIKI NA KATI YA AFRIKA ENZI ZA UTAWALA WA NYERERE.
NYERERE ALIWEZA KUDHIBITI
1.RUSHWA
2.UWAJIBIKAJI WA WATUMISHI WOTE HADI MAWAZIRI
3.GAP LA WASIOKUWA NACHO NA WALIONACHO
4.UFISADI WA MIRADI YA UMMA
5.UKABILA
6.UDINI
7.KUTUNZA VIWANDA VILIVYOACHWA NA WAKOLONI
8.KUTUNZA MIRADI ILIYOACHWA NA WAKOLONI IKIWEMO RELI ILA MWINY ALIKUJA KUUA AU KUPAVE WAY YA KUUA
9.NYERERE ALIWEKA MBELE NA SIO FAMILIA YAKE KAMA ILIVYO SIKU HZ
MSISAHAU ENZI ZA NYERERE
1.KULIKUWA NA WASOMI WACHACHE
2.BADO SEHEM KUBWA YA NCHI ILIKUWA DUNI KIFIKRA NA KIUCHUMI
3.PIA WALIOKUWA WAKOLONI WALIKUWA NA USHAWISHI MKUBWA KWENY NCHI ZETU SO VIONGOZ WETU HAWAKUWA NA MAAMUZ HURU KWA 100%
4.BILA KUSAHAU TULIKUWA NDO TUMEPATA UHURU SO TULIKUWA NA CHANGAMOTO NDOGO NDOGO NYING AMBAZO ILIKUWA MUHIMU KUZITATUA KABLA YA KUKIMBILIA FYLOVER MF UKABILA , UDINI , UJINGA , KUPUNGUZA TOFAUTU YA WASIOKUWA NACHO NA WALIOKUWA NACHO , KUILETA JAMII PAMOJA NA KUANZA KUJENGA MSINGI WA KESHO
5.NJIA ZA MAWASILIANO NA UCHUKUZI ZILIKUWA DUNI SO ILIKUWA NGUMU KUFANIKISHA JAMBO KWA MUDA MFUPI