Nyie vijana wa sasa hivi hamuwezi kujua umaskini watu waliopitia waulize wakubwa zakoMada inafikirisha kiaina ila the fact I know ni kwamba mwalimu himself alikuwa ana uwezo sana as a person sasa kuhusu kutokuwa na uwezo wa kuiongoza nchi mh labda Nisikilize maoni ya wadau kwanza
Matatizo yote ya Tanzania yalisababishwa na Nyerere
Ok hiyo Vita nani alikuwa na uwezo wa kuizua izileta mazara ya uchumi kama siyo Rais ambaye ni jemedari wa inchi?Mleta Mada ni tutusa na mbwiga fulani hivi
Ugumu wa maisha ulianzia 1979 baada ya Vita ya Kagera
Kitu kimoja kinachowapiga chenga watu wengi hasa waliozaliwa kuanzia 1980 wanadhani maisha mazuri yanaletwa na vitu vingi vya anasa anasa kama vilivyopo sasa 🤣umekula ubwabwa mwingi halafu ukenda kulala na kuota hayo maisha mazuri ya Nyerere.
Ungethubutu kuongea haya awamu yake uone kama ungeishu Hadi leoNimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Mwaka 1973/74 kulikuwa na upungufu mkubwa wa chakula; si kwa sababu ya siasa za wakati huo, bali hali ya mazingira ilikuwa ngumu kote duniani na haikuwa Tanzania pekee.Mleta Mada ni tutusa na mbwiga fulani hivi
Ugumu wa maisha ulianzia 1979 baada ya Vita ya Kagera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah mkuu unataka kutuaminisha vijana kwamba ulewimbo wa "kamasiyo" kwenye TBC taifa, Ni juhudi za chama kumpamba.
Baadhi ya lawama dhidi ya Nyerere huwa zinalazimishwa na baadhi ya watu kwa misukumo binafsi au sababu za kidini.Mwaka 1973/74 kulikuwa na upungufu mkubwa wa chakula; si kwa sababu ya siasa za wakati huo, bali hali ya mazingira ilikuwa ngumu kote duniani na haikuwa Tanzania pekee.
Kuikimbia nchi, ndiyo maana ukaishia kuwa kama ulivyo, kwani wewe huoni jinsi ulivyo athirika kimaisha?Kwani lilibka yingo kalisema?
Mimi nilikuepo, tena huyo hajaelezea waliokua wanapotea. Au walipotezwa?
. Wengine tunashukuru tulikua nabuwezo wa kuikimbia nchi.
Sasa kama ulikimbia nchi, halafu "ukawepo" huoni ulivyo changanyikiwa na maisha yako hayo ya ulevi? Kati yako wewe, na Ali Hassan Mwinyi, ni nani aliyeweza kueleza hao unaosema "walipotezwa"?Mimi nilikuepo, tena huyo hajaelezea waliokua wanapotea. Au walipotezwa?
Miaka yote hii hawa watu wame fanya kila kitu uongozi wa Mwalimu Nyerere uonekane kuwa mbaya bila ya mafanikio yoyote.Baadhi ya lawama dhidi ya Nyerere huwa zinalazimishwa na baadhi ya watu kwa misukumo binafsi au sababu za kidini.
Miaka hiyo njaa ilipiga sehemu kubwa ya Eastern Africa kutokana na ukame na pia uchumi kuyumbishwa na OPEC. Ila kwa Tanzania wabaya wake wanakomalia suala ujamaa villagisation.
Alaaaa. Kumbe!Ungethubutu kuongea haya awamu yake uone kama ungeishu Hadi leo
Kabisa kabisa !Mwaka 1973/74 kulikuwa na upungufu mkubwa wa chakula; si kwa sababu ya siasa za wakati huo, bali hali ya mazingira ilikuwa ngumu kote duniani na haikuwa Tanzania pekee.
upungufu mkubwa wa chakula uliletwa na kuhamisha watu kiholela na kuwapeleka kwenye vijiji vya ujamaa kwenye maeneo mapya. Watu walihamishwa kutoka makao yao ya asili na kupelekwa maporini kwa hivyo msimu uliwapita wa kilimo kwani walichelewa kutayarisha mashamba. Hali ya ukame ndiyo ikakolezea umasikini.Mwaka 1973/74 kulikuwa na upungufu mkubwa wa chakula; si kwa sababu ya siasa za wakati huo, bali hali ya mazingira ilikuwa ngumu kote duniani na haikuwa Tanzania pekee.
Ni sababu iliyo changia, siyo sababu pekee; na hakuna mtu aliye kuwa amepanga itokee hivyo. Watu kuhama ilikuwa ime pangwa hivyo bila kuwa na ufahamu wa kitakacho tokea na hali ya hewa.upungufu mkubwa wa chakula uliletwa na kuhamisha watu kiholela na kuwapeleka kwenye vijiji vya ujamaa kwenye maeneo mapya. Watu walihamishwa kutoka makao yao ya asili na kupelekwa maporini kwa hivyo msimu uliwapita wa kilimo kwani walichelewa kutayarisha mashamba. Hali ya ukame ndiyo ikakolezea umasikini.
Rev. C. K. Omari aliandika kitabu na kufafanua vizuri sana kuhusu janga hilo la ujamaa. Nadhani alikuwa lecturer pale UDSM kama sikosei.
Umasikini unasabishwa na akili alizo nazo mtu(binadamu), swali fikirishi je mwalimu Nyerere ndiye aliwambia wazazi wako wakuzae na kukulea kimasikini, wenzako walio zaliwa miaka hiyo ni matajiri, kwasasa una miaka 54Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Ulishawahi kusikia kama wazazi wetu walikuwa wanakatwa mishahara yao kwa ajili ya kusaidia vya vya ukombozi inchini mwao,mfano Flerimo,A.N.C Swapo na vingine.Umasikini unasanishwa na akili alizo nazo mtu(binadamu), swali fikirishi je mwalimu Nyerere ndiye aliwambia wazazi wako wakuzae na kulea kimasikini, wenzako walio zaliwa miaka hiyo ni matajiri, kwasasa una miaka 54
South Africa nimeenda hata Zimbabwe nilienda South Africa nilienda 1990 Pretoria, 1991 JB, 1991 Zimbabwe- burawayo and Harare, niliobahatika kuona mashamba makubwa sana ya mabeberu, hata kwenye siasa tulikaririshwa kwamba Tanzania haiwezi kuwa huru kama nchi nyingine za Afrika hazija pata uhuru, kwenda shule, (sekondari), kupanda mabus tulikuwa tunatumia makaratasi yaani waranti lifti tulikuwa hatutoi nauli, what is your base of you're questions in reality though not all citizens can enjoy the national cake, kila kitu, (mtu), na zama zake siyo wananchi wote huwa wanafaidi keki ya taifaUlishawahi kusikia kama wazazi wetu walikuwa wanakatwa mishahara yao kwa ajili ya kusaidia vya vya ukombozi inchini mwao,mfano Flerimo,A.N.C Swapo na vingine.
Umeshawahi kubahatika kwenda inchi mojawapo ya hizo,halafu fananisha maisha ya watu wake na sisi tuliokuwa tunawasaidi kama yanafanana,
Chuki binafsi itakumaliza. Walaumu wazazi wako kwa umaskini na siyo mwl nyerere.Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukali, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni inchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Katiba mbuvu nani alituachia?Azidi ya 80% ya watanzania walizaliwa baada ya Nyerere kuondoka madarakani. Hivyo matatizo mengi ni ya watanzania na na viongozi waliopo