gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Wale jamaa bana,wakamuua na mkewe,kwa nini!?..wajeda wana shida vichwaniAlikiri baada kung'atuka na kuona Rafiki yake Nicolai Caucesku wa Romania akiuwawa kinyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale jamaa bana,wakamuua na mkewe,kwa nini!?..wajeda wana shida vichwaniAlikiri baada kung'atuka na kuona Rafiki yake Nicolai Caucesku wa Romania akiuwawa kinyama.
Watz walikua wamoja tangu yuko butiama,alipewa nyumba magomeni na familia yake kuhudumiwaAlituunganisha tukawa wamoja. Mahali popote Tz unakaa kwa amani, hakuna ukabila.
Vijana wa sasa hivi hawajui kama mtu alikuwa na hera yake kipindi hicho alitaka kununua gari ilibidi aanzie kwa mwenyekiti wa eneo husika ili aanze kujadiliwa mpaka ngazi ya mkoa kwamba hiyo hera kaipateje patajeKuna msemo unasema 'huwezi kutumia akili iliyosababisha tatizo kutatua tatizo'..haishangazi kuona kwamba hakuona tatizo kwenye ujamaa wake,ujamaa kwake ulikua dini,alichukia sana mtu kuwa tajiri
Karume aliukataa ujamaa,mtu wa darasa la tatu tu aliona ujamaa haufai,mwenye masters akaingia mkenge,wazanzibar walikua na maisha ya kiutu kuliko tanganyikaWazanzibar maisha yao hayakuwa magumu sana kwao kwani kwanza walikuwa wachache na pia walikuwa wanasaidiwa sana na ndugu zao waarabu.
Wazanzibar mapinduzi waliyoyafanya na Muungano waliofanya na Tanganyika viliwaingiza kwenye maisha magumu zaidi.
Wazanzibar wasingefanya yale mapinduzi zanzubar ingekuwa mbali sana kwa sasa
Mwanafunzi wa Mudy Saidi un the makingNYERERE ni mjinga sana
Hiyo hoja yao wanavyoisemaga utafikiri Nyerere alikuta watu wanapigana!Watz walikua wamoja tangu yuko butiama,alipewa nyumba magomeni na familia yake kuhudumiwa
Communism is the highest stage of socialismJamaa una akili sana .
Ni ipi tofauti kati ya Communism na socialism.
In socialism people share wealth but in Communism people share poverty.
Hope nimejibu swali lako.
Mfano akina nicolas teslaSera za kijamaa.
Hata Soviet mwenyewe ujamaa uliwashinda.
Wananchi walianza kuona mateso, ukigundua kitu hunufaiki inakuwa ni serikali ndio inahusika si wewe.
Hii ilipelekea hata wanasayansi wengi wakimbie kutoka Soviet kuelekea nchi magharibi wakanufaike na kazi zao.
Watz hawakua masikini wa 0, mentality ya kuitegemea serikali ilitokana na ujamaaBinafsi namkubali mwamba Kuibadili nchi kutoka umasikini wa 0 ni kazi ngumu sana , Laiti angekata tamaa Tusingekua hapa..
Watu hawakua na elimu ya kutosha, Serikali haina akiba yeyote, Watu walikua na Mindset ya kusaidiwa na serikali...
Alipata tabu sana mwalimu
Stori za vijiweni tena vijiwe vya kahawa.Vijana wa sasa hivi hawajui kama mtu alikuwa na hera yake kipindi hicho alitaka kununua gari ilibidi aanzie kwa mwenyekiti wa eneo husika ili aanze kujadiliwa mpaka ngazi ya mkoa kwamba hiyo hera kaipateje pataje
Acheni dhihaka, hao babu zetu walifanya nn cha maana zaidi ya kuowa wanawake wengi, na ndiyo matokeo ya kupata wajukuu vitapwa.Hiyo hoja yao wanavyoisemaga utafikiri Nyerere alikuta watu wanapigana!
Kizazi cha 80s hakijitambui. Tunywe zile pombe kubwa tukisindikizwa na warembo. Tuishie kama tulivyokuja. Hakuna tunachowezaKizazi 1980s hakimtukuzi huyo mzee
Hakijitambui kwa kuwa hakimtukuzi au?Kizazi cha 80s hakijitambui. Tunywe zile pombe kubwa tukisindikizwa na warembo. Tuishie kama tulivyokuja. Hakuna tunachoweza
Hakijitambui kwa kuwa hakimtukuzi au?
Ndio ndio maana aliji ng'atua mmbo yasimchachieNimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?