Yani ilikuwa ni lazima Mungu aingilie Kati kwasababu sio human nature yani watu laki moja wa upande mmoja wako sahihi na watu laki moja wa upande mwingine hawajui kusoma hivi hili liliwezekanaje?Kingine cha kushangaza ni et wapinzani tu kukosea kujaza fomu! Sijawahi sikia ccm hata mmoja amekosea!
Tanzania haka ka nchi!
Kosa letu ni lipi? Haya hayakutokea? Au kuuliza imekuwa kosa? Wanaouliza kambi za mateso za Hitler kule Auziwich leo hii miaka 50 baadae wanakosea?Mbona mmeanza ujinga humu mapema sana!? Yaani mnakuwa wapinzani wa kuongea utopolo mtupu, ovyo kabisa nyie!
Kingine cha kushangaza ni et wapinzani tu kukosea kujaza fomu! Sijawahi sikia ccm hata mmoja amekosea!
Tanzania haka ka nchi!
Akapendwa na Muumba zaidiMambo ya MWENDAZAKE kulazimisha kupendwa
Hivi wanasoma hizi post kweli? And if they do dhamira zao zinawashuhudia nini?..hebu fikiria mkoloni muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu ktk uchaguzi wa mwaka 1958.
..mwaka 2019 / 2020 Ccm / nec imeengua mamia kama sio maelfu ya wagombea wa upinzani.
..hakuna mwana tanu aliyeuwawa ktk uchaguzi uliosimamiwa na wakoloni wa kiingereza, lakini Ccm / polisi wameua wananchi ktk Tanzania huru.
Wakurugenzi walishapewa onyo kuhusu kumtangaza mpinzani ni mshindi hivyo waliokoa vyeo vyao...hebu fikiria mkoloni muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu ktk uchaguzi wa mwaka 1958.
..mwaka 2019 / 2020 Ccm / nec imeengua mamia kama sio maelfu ya wagombea wa upinzani.
..hakuna mwana tanu aliyeuwawa ktk uchaguzi uliosimamiwa na wakoloni wa kiingereza, lakini Ccm / polisi wameua wananchi ktk Tanzania huru.
Wakurugenzi walishapewa onyo kuhusu kumtangaza mpinzani ni mshindi hivyo waliokoa vyeo vyao.
Madaraka, fame, moneyIl
Ila kwanini inakuwa hivi jamani