Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.
UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje?
Kwanini wanaotekwa au kupigwa wakati wanarudisha fomu ni UPINZANI tuu?
Haya yalitokea na rekodi zipo mfano mvomero n.k