Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu.

UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje?

Kwanini wanaotekwa au kupigwa wakati wanarudisha fomu ni UPINZANI tuu?

Haya yalitokea na rekodi zipo mfano mvomero n.k
 
Ndiyo maana jitu lilikufa kinywa wazi sasa hivi liko motoni kwa ajili ya kuasisi huu upumbavu. Na 2025 wakileta huu ujinga hawatakufa bali watapata maradhi ya kuwatesa kama ukoma,kiharusi,saratani n.k. ili wajutie maovu yao.
 
Mtu ni mgombea neck imemoa fomu lakini siku ya kurejesha anatekwa mbele ya ofsi za NECK
 
Kingine cha kushangaza ni et wapinzani tu kukosea kujaza fomu! Sijawahi sikia ccm hata mmoja amekosea!

Tanzania haka ka nchi!
Yani ilikuwa ni lazima Mungu aingilie Kati kwasababu sio human nature yani watu laki moja wa upande mmoja wako sahihi na watu laki moja wa upande mwingine hawajui kusoma hivi hili liliwezekanaje?
 
Hata wanaoenguliwa kwa kukosea kujaza fomu huwa ni wapinzani tu.
 
Mbona mmeanza ujinga humu mapema sana!? Yaani mnakuwa wapinzani wa kuongea utopolo mtupu, ovyo kabisa nyie!
 
Kingine cha kushangaza ni et wapinzani tu kukosea kujaza fomu! Sijawahi sikia ccm hata mmoja amekosea!

Tanzania haka ka nchi!

..hebu fikiria mkoloni muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu ktk uchaguzi wa mwaka 1958.

..mwaka 2019 / 2020 Ccm / nec imeengua mamia kama sio maelfu ya wagombea wa upinzani.

..hakuna mwana tanu aliyeuwawa ktk uchaguzi uliosimamiwa na wakoloni wa kiingereza, lakini Ccm / polisi wameua wananchi ktk Tanzania huru.
 
Hivi wanasoma hizi post kweli? And if they do dhamira zao zinawashuhudia nini?
 
..hebu fikiria mkoloni muingereza hakuengua mgombea hata mmoja wa Tanu ktk uchaguzi wa mwaka 1958.

..mwaka 2019 / 2020 Ccm / nec imeengua mamia kama sio maelfu ya wagombea wa upinzani.

..hakuna mwana tanu aliyeuwawa ktk uchaguzi uliosimamiwa na wakoloni wa kiingereza, lakini Ccm / polisi wameua wananchi ktk Tanzania huru.
Wakurugenzi walishapewa onyo kuhusu kumtangaza mpinzani ni mshindi hivyo waliokoa vyeo vyao.
 
Back
Top Bottom