Naumwa sana: Nimefika Pemba ili nitibiwe kienyeji, naombeni msaada wa Mtaalamu

Kipi kilichokusukuma uende Pemba na si kwingineko?
 
So ulienda ukiwa hujui unaenda kwa nani? Utaenda pandikizwa majini humo mwilini mpaka ukome
Pole sana, siko Pemba, lakini nitumie details ya kinacho kusumbua na tiba/vipimo ulivyofanyiwa, wakati unaendelea kumtafuta mganga wa jadi, na mi pia nitakuwa nakupa ushauri.
 
Naona apa nime tagiwa,nipo safari nalud kwenye makazi yangu kutokea Arusha sa kumi na mbili nafika by sa Moja nitakua nimetulia nitakuja kumsikiliza mtoa mada nione tunasaidianaje🙏🏽
 
Piga namba hii 0774 40 54 08 huyu Ni mwalimu huko wanaita MAALIMU MOHAMMED,ni mwenyeji hapo mueleze shida zako atakusaidia.
Kila la kheri huko mwana jf usisahau kuleta feedback
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…