AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
Habari zenu.
Wakati mwingine unapoona tiba za hospitali hazisaidii, unaruhusiwa kujaribu na upande wa pili.
Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa kumpata mtaalamu aliyepo hapa Pemba muda huu.
Nimeshuka mchana huu hapa Bandarini.
Nimekuja kwa ajili ya kupata matibabu yangu binafsi.
Kama kuna mwenyeji wa Pemba, naombeni mnisaidie.
Najua nitakejeliwa, ila hamjui yanayonifika.
Niko tu nashangaa hapa, sina ninayemjua.
Hata Pm, njoo tu unipe maelekezo.
Asanteni.
NB:
Naona mnaniita kila majina, mimi mpumbavu na mjinga kwa maana nimekuja bila connection, ila LAITI MNGEJUA NINAVYOUMWA,WALA MSINGENIPA HAYO MAJIBU YA HOVYO.
NIMEKUJA HUKU ILI HATA KAMA NIKIMPATA, NIANZE MATIBABU HUKU HUKU.