Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

Kwan wakibinafsisha pesa zotozokua zinatolew kwa serikali hawatozipiga?
 
Mtu kama january ataihonga iyo kamati
 
Ndio tupangishe ila siyo kwa miaka Mia duh
 
Naunga hoja mkuu serikali yetu kwenye mashirika Haina uwezo wa kuyaendesha wabinafsishe wabaki kukusanya Kodi tu huko naona kidogo wanajiweza lakini usimamizi ni mbovu kwakweli
Kwahyo yule muarabu ndio unaoan anawezaa SAS umezaliwa Kuja kutawaliaa na uwezi kufanya kitu
 
Serikali yetu imejaa wezi na wapigaji wa kila aina pale Bandari. Kama suala la NBC lilikuja na majibu tofauti na matarajio yetu sio kigezo cha kuwanyima hawa jamaa wa Dubai wakaendesha bandari yetu.

Huko USA bandari nyingi tu zinaendeshwa na makampuni ya kukodisha, sisi tuna kipi chenye kuwazidi hao wamarekani kiuchumi na katika suala zima la tija itakayopatikana hapo bandarini?.

Kama mleta mada hatumiwi bila ya kujijua basi hana uwezo wa kutazama hasara tunayopata kama Taifa kwa bandari kuendelea kuendeshwa na kundi la wapigaji.

Maana uhalisia ni kwamba wapigaji huwa wanabadilishwa kadri ya awamu mpya ya uongozi inapoingia madarakani, madudu ni yale yale ya miaka yote.
 
Uafrika hasa utanzania ni LAANA
I feel you, lakini Hapana, uTanzania (uTanganyika) sio Laana,

1. Laana ni Kutumia dola kuingia na kubaki madarakani, wakati huna Nia, Maono, Uwezo na Maarifa ya kuongoza Taifa kubadilisha utajiri wa mali asili kwenda kwenye maisha bora ya wananchi.

2. Laana ni kuwa sehemu ya dola na kutumika kukamilisha laana No. 1
 
Wewe unamuona tundu lissu kama mtu safi, kalagha bhao, huwa Najaribu kuunda serekali ya chadema kifikra huwa nashindwa kujua itakuwaje?, mfano rais TL, Makamu wa rais yule with zanzibar, Waziri mkuu mbowe, Waziri biashara sugu, Mambo ya ndani lema, hivi mnadhani hapo patakuwa na nchi kweli?
 
Kwa akili zako za kufirika hakuna nchi
 
Hii Bandari iligeuzwa shamba la bibi la watu wachache kuchuma harafu wengine tunabakia kuwa Wapenzi watazamaji..

Naipongeza Serikali kuweka investor Cha msingi wakubaliane pesa Kwa mwaka Ili awatimue wale wezi na waliokuwa wanaleta inefficiency..

Iende Hadi kwenye sekta zingine mfano tuna Kampuni ya Ranchi ya Taifa hakuna wanachofanya ni upuuzi tuu.
 
Iligeuzwa shamba la bibi na nani?
 
Serikali imejaa wezi na wapigaji? Unakubali kuwa sisi Kama sisi hatuwezi kuendesha hata hii serikali?

Kama tatizo ni wapigaji, si Kuna mamlaka ? Kuna raisi? Kwa nini hao wapigaji wasiadhibiwe? Au unataka kusema raisi na vyombo vya dola hawawezi kusimamia serikali?

Kesho wapaji wakiwa ikulu, inabidi ikulu nayo apewe mtu wa nje kuiendesha?

Tunatetea Jambo ambalo ni gumu
 
Uafrika hasa utanzania ni LAANA
 
Hiyo list ndani mwaka moja pesa zote tangu uhuru mtazitapika tu mkishindwa hadi wake zenu watanadishwa kurudi pesa za umma.

Huu ni ujinga
 
Tanesco iliwahi binafsishwa, kilitokea nini?
 
Aisee
 

Attachments

  • Screenshot_2023-06-06-14-57-07-971_com.mi.globalbrowser.jpg
    226.9 KB · Views: 17
Bandari ni moja ya mpaka muhimu sana ambao Usalama wake una Maslahi makubwa kwa Taifa letu
 
Mleta mada uko sahihi. DP World ni kampuni yenye weledi usiotia shaka. Kwa wasioijua ni kuwa wao pia ndo wana mikataba kwenye bandari sita za USA. Je, USA wao ni wajinga? Hakuna namna tunaweza piga hatua kwa kuendekeza watanzania wenzetu wanaotupiga daily.
 
Hapo serekali ndio inatakiwa kubadilika ukishindwa kuendeshe bandari Kuna siku utabinafsisha TRA
TRA itabinafsishwa pia kwenye baadhi ya vitengo na kubakiza vitengo vichache, ila ubinafsishwaji wa kimfumo, huduma nyingi zitaingizwa kwenye mifumo ya electronic na kuwa operated na mashine hivyo watengeneza mashine za mifumo ndo watachukua nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…