Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Matunda uone mara ngapi? Kuna sekta unayoijua wewe haijafanya vyema chini ya sera za kufungua uchumi za mama?
 
Samia ana historia gani kwenye hili taifa zaidi ya kuwa Mwanamke wa kwanza kupata urahisi kwa ngekewa baada ya mikakati mizito ya kumuondoa Mwana Chato!
Wanaostahili kuwekwa kwenye pesa ni Mkapa au Magufuli,hutaki hamia Haiti!
Historia ya kwanza ndio hiyo ya kuwa Rais wa kwanza Mwanamke.

Pili Samia ndio Rais pekee aliyeleta Mageuzi makubwa kwenye sekta zote za Uchumi Kwa mda mfupi sana kuanzia Mageuzi kwenye sekta ya Elimu Hadi Kilimo Cha Umwagiliaji.

Barabara Hadi Sekta ya Maji.Unataka nini kingine wewe?
 
Matunda uone mara ngapi? Kuna sekta unayoijua wewe haijafanya vyema chini ya sera za kufungua uchumi za mama?
Mkuu huwa sipendagi sana kubishana na ukweli, ili nchi ifanye vizuri lazima ijipange kwa kuweka mipango ya muda mrefu kitu ambacho matokeo yake yanapimwa baada ya kuvuka nusu ya nusu ya muda uliopangwa.
Sasa ukisema kuwa tuanze kupima matokeo ya kila sekta bila kutumia mipango ya kila sekta husika kwa kutumia short, medium na long terms tutakuwa tunaleta ushabiki na ubishi isiyokuwa na maana.
Leta sasa takwimu ikionesha kuwa kwa miaka mitano tokea 2021 sekta flani iliweka malengo haya na haya kwa miaka 10 au 20 au 5 na hadi sasa yamefikiwa kwa kiasi gani.
 
Changamoto ya kukatika Kwa umeme ni ndogo sana kulinganisha na aliyofanikiwa.

Wewe unaweza kudhibitiwa umeme
yaani hapa ndo umeonesha uzero brain wako,kwa hiyo kukatika kwa umeme siku nzima Tena Kila mkoa kwako ni kawaida😁😁😁??kama yeye hawezi kudhibiti hili swala nani awajibike Sasa??
 
Kama watafanya hivyo basi itakuwa ni ujinga wa kiwango cha juu Sana. Wazo hili linawezakupigiwa debe na wajinga, matapeli,wapumbavu, vilaza na takataka zingine. Lakini mzalendo wa kweli na mwenye utimamu sawasawa hawezi kukubali kutia nuksi sarafu ya nchi.
 
Huyo mbunge anahemkwa kama mtoa mada tu, wanazidi kuwa kunguni miccm sio watu.
 
Your browser is not able to display this video.

"Mhe Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii kudizaini fedha kwa kuweka nembo na material mbalimbali, mwaka 2021 nchi hii imepata Rais wake wa kwanza mwanamke anayefanya kazi nzuri na anatambulika katika Bara la Afrika na duniani kama Rais madhubuti na wa mfano, Je serikali haioni sasa kuna haja ya kuweka kumbukumbu ya kudumu kwa Rais
@SuluhuSamia kwa kuweka picha yake katika fedha za nchi hii?," - Ng'wasi Kamani
 

Then una wonder why nchi inayumba kimaamuzi? Aina hii ya wabunge? Imagine bunge lime contain ain ya watu hawa, it a shame
 
Kwahiyo hiyo picha itaongeza thamani ya shilingi kwa dola? Itapunguza bei ya sukari? Itaondoa mgao wa umeme? Yaani hili bunge kama hawa ndo wabunge basi lifutwe tu serikali iamue kila kitu. Ila hii tabia ya kujipendekeza itaua hii nchi
Ishaua nchi mkuu, the country can never die twice mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…