nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Nadhani tubadili jina la Shilingi lina gundu....tutafute jina jipya.Kwa kuwa ukinunua sukari na Mchele elfu kumi inaisha mara moja,ukinunua nyama kilo Moja elfu kumi inaisha, petroli ukiweka lita mbili elfu kumi inaisha, ukinunua nyanya kisado elfu kumi inaisha, ukinunua vitunguu kisado elfu kumi inaisha, nashauri iwepo note mpya ya elfu 50000 ili kupunguza kutembea note nyingi.
Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni