Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Naomba huyo mbunge aache kuvuta bangi mbichi. Very stupid
 
Historia ya kwanza ndio hiyo ya kuwa Rais wa kwanza Mwanamke.

Pili Samia ndio Rais pekee aliyeleta Mageuzi makubwa kwenye sekta zote za Uchumi Kwa mda mfupi sana kuanzia Mageuzi kwenye sekta ya Elimu Hadi Kilimo Cha Umwagiliaji.

Barabara Hadi Sekta ya Maji.Unataka nini kingine wewe?
Mama ameleta mageuzi ya maji machafu nchi nzima maji yake ni machafu mageuzi mazuri aliyo leta mama. Na Kingine rushwa ipo kila sehemu umeme bado ni tatizo sugu saa ajira vijana hawana mama anasafiri kila kukicha akitembelea nchi marafiki Uongoziwa Mama unafanana na Uongozi wa Mr Kikwete kusafirisafir wakati wananchi wake wapo hoi kimaisha: Afadhali Makonda anajitahidi kutatuwa matatizo ya wananchi kuliko viongozi wengine wa Serikali.
 
Kwa kuwa ukinunua sukari na Mchele elfu kumi inaisha mara moja,ukinunua nyama kilo Moja elfu kumi inaisha, petroli ukiweka lita mbili elfu kumi inaisha, ukinunua nyanya kisado elfu kumi inaisha, ukinunua vitunguu kisado elfu kumi inaisha, nashauri iwepo note mpya ya elfu 50000 ili kupunguza kutembea note nyingi.

Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni
 
Kwa kuwa ukinunua sukari na Mchele elfu kumi inaisha mara moja,ukinunua nyama kilo Moja elfu kumi inaisha,petroli ukiweka lita mbili elfu kumi inaisha,ukinunua nyanya kisado elfu kumi inaisha,ukinunua vitunguu kisado elfu kumi inaisha,nashauri iwepo note mpya ya elfu 50000 ili kupunguza kutembea note nyingi
Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni
Ndio mnatupeleka šŸ‡æšŸ‡¼. Zimbabwe sioā›¹ļøā€ā™‚ļøā›¹ļøā€ā™‚ļøā›¹ļøā€ā™‚ļø
 
Ni vizuri sura ya Mh. Samia ikawekwa kwenye noti zetu zote. Kuweka picha za wanyama sio sawa
 
Kwa kuwa ukinunua sukari na Mchele elfu kumi inaisha mara moja,ukinunua nyama kilo Moja elfu kumi inaisha, petroli ukiweka lita mbili elfu kumi inaisha, ukinunua nyanya kisado elfu kumi inaisha, ukinunua vitunguu kisado elfu kumi inaisha, nashauri iwepo note mpya ya elfu 50000 ili kupunguza kutembea note nyingi.

Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni
Na noti ya elfu 50 ndio iwekewe picha kama mbunge alivyoshauri tuweke picha kwenye pesa. Kwenye ya elfu 50 Itapendeza sana itasaidia kupunguza noti mifukoni[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom