Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Kwa magufuli mlisema hvyo hvyo
 
Sawa tunampenda Mama Samia na kumuunga mkono ila huyo Mbunge ni mpumbavu sana kwasababu kaleta hoja kwenye wakati usio sahihi. Wakati huu nchi inapambana na changamoto kibao ikiwemo ya sukari na umeme halafu anajitokeza kenge mmoja na kutaka tutumie tena pesa kwa zoezi lisilo na ulazima kwa sasa. Au anadhani hilo zoezi ni kama kwenda pale Kariakoo na ku-print? Mbunge kama huyu hapaswi kurudi bungeni 2025.
 
U5enge tu, labda kigezo iwe jinsia wala sio uchapakazi🚮
 
Mleta mada kichwani pale palipotakiwa kuwepo ubongo AMEJAZWA UTOKO.

Si mnaujua UTOKO? Ule uchafu unakaa kwenye GOVI, sasa mleta mada ndo alionao kichwani badala ya ubongo.

Pumbavu kabisaa.
 
Mleta mada kichwani pale palipotakiwa kuwepo ubongo AMEJAZWA UTOKO.

Si mnaujua UTOKO? Ule uchafu unakaa kwenye GOVI, sasa mleta mada ndo alionao kichwani badala ya ubongo.

Pumbavu kabisaa.
Nakazia Mleta mada kichwani Kajazwa Utoko.
 
Maendeleo, humo kuna umeme, maji, miundo mbinu, huduma za jamii zote na uchumi kiujumla.

We unafikir ni Uchawa au?
Haya weka data hapa miaka 5 ya Mwendazake vs miaka 3 ya Samia tuanze kuchambua.
 
Back
Top Bottom