Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Tusichoshane endelea kulamba Matraako yao.
Wewe ndio mlamba matako ya Jiwe.

Huna takwimu na una ogopa kuaibika.Weka takwimu uone Jiwe anavyoumbuka vinginevyo kimbilia kusema nauli zimepanda 😁😁.
 
Kwani si nyerere yupo kwenye noti ndanindani ukiielekeza noti kwenye mwanga na pia karume yupo kwenye 200 na inatosha? Tatizo la nchi hii ni uchawa na kuteuana kwa kujichawisha. Makonda alimwombea mama umakamu, mama alipoingia akakumbuka kuwa niliombewa umakamu, akamteua pm kama malipo ya mali kauli.
 
Kumbe unajua zimepanda🚮
Sasa kama.zimepanda ndio zinazuia miradi kutekelezwa? Au umeshawahi kuona watu wameacha kusafiri kisa nauli?

Kama unataka kulipa nauli Yako nunua lako uzuri Mafuta gameshuka bei.

Kazi iendelee 👇👇
Screenshot_20240207-084604.jpg
Screenshot_20240207-084622.jpg
 
Ili iwe nini yaani na kwa lipi, tutaichukia hata shilingi yenyewe, hovyo kabisa
 
MAMBO NI MENGI
1.Shule hazina walimu
2.Hospitali hazina vifaa tiba
3.Shule majengo ya hovyo
4.Watu hawana ajira
5.Sukari imepanda bei
6. Mafuta yamepanda bei
7. Umeme unawaka kimiyeyusho sana
8. Wanafunzi elimu za juu mikopo inasua sua
9. Miundo mbinu haijakaa sawa sawa kipindi kama hich cha mvua kuna sehemu havifikiki.

Alafu kinakuja kipuuz kimoja kinaongea mambo ya sarafu, yanasaidia nini ? Kila siku wananunua ma v8 mapya kwanini hizo hela zisitumike kwenye miradi ya maendeleo ? Kweli kabisa mwanaume unakuja ku co sign hii ishue ? Aisee tuna safari ndefu sana aloo
 
Watanzania kwa unafiki na kujikomba hamjambo

Nchi ina shida nyingi za kujadiliwa mnajadili huu ujinga😏😏😏😏
Pata fursa ya kuhesabu watu wajinga huko bungeni na hapa jf, yaani kupitia huu uzi utawajua mazwazwa bin akili kisoda wote waliopo bungeni na jf 😂 😂
 
Huu ni ujinga kiwango cha lami.
Hayati Julius Kambarage Nyerere
Anatosha.
Hata Nyerere hafai kuwepo katika noti za nchi ni heri tuweke picha ya Lake Tanganyika na sio picha ya mtu aliyewahi kufanya ukandamizaji katika nchi huru.
 
Sukari kilo sh.6000 wslanguzi wapo tu hakuna aliye kamatwa.
 
Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu.
Nilikuwa nakuheshimu sana yaani sana tu, ila kwa wewe kuunga mkono wazo la mhuni yaani nimekuweka kundi moja na huyo mhuni, wewe na Ng'wasi wote mu wahuni kuchapwa mboko in public.
 
Napendekeza waweke hii picha kwenye noti ya tsh 10000

Itapendeza sana
images(14).jpg
 
Back
Top Bottom