Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

Nadhani tubadili jina la Shilingi lina gundu....tutafute jina jipya.
 
Baada ya mimi kupendekeza noti ya sh. Elfu hamsini iwe na picha ya Mwinyi wewe ukapata cha kuandikia Posti! Mbunifu kweli.
 

Waongezee maneno. Hakuna katiba mpya wala umeme lakini napeta😂
 
Aliyetoa wazo hilo ni mjinga sn, ndiyo maana tunasema viti maalumu vifutwe havina maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…