Tanzanians
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 265
- 385
Lile jengo la technologia (Microsoft) Barsheba la Israel ambalo limeasisiwa tokea 1930 kukiwa na mitambo yao ya kitaalamu liloripuliwa na Iran ambalo linashikilia No.6 duniani katika vituo vya kitaalam je? na kule ndani wafanyakazi zaid ya elf7 wa Israel na wataalam mbali mbali kutoka duniani wanafanya kazi na yasemekana wataalam walikuwemo wameangukiwa na vifusi, jee hiii si faida kwa Iran???Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana
Kumbuka hao waliouliwa ni wale wenye experience kwa hiyo kuwapata tena itachukua mda
Kulipua majengo sio achievement hata Hizbollah walilipua majengo mengi sana ila leo hata uongozi wao haujulikani ukoje baada ya wale wazoefu wote kuuliwa na itachukua mda sana kumpata sana mtu kama NasrallahLile jengo la technologia (Microsoft) Barsheba la Israel ambalo limeasisiwa tokea 1930 kukiwa na mitambo yao ya kitaalamu liloripuliwa na Iran ambalo linashikilia No.6 duniani katika vituo vya kitaalam je? na kule ndani wafanyakazi zaid ya elf7 wa Israel na wataalam mbali mbali kutoka duniani wanafanya kazi na yasemekana wataalam walikuwemo wameangukiwa na vifusi, jee hiii si faida kwa Iran???
Toka lini myahudi kukubali kusimamisha vita? jua tu mambo hayakuwa mazuri kwao walii underestimate Iran, wamepata wazo la kujipanga tena upya mnyama Iran hashikiki kwa sayari hii
Wote wamekubaliana acha ushabikiNimecheka sana baada ya kusikia Israel imekubali ceasefire haraka hivyo bila hata masharti yoyote....mbona kule gaza Kwa wanamgambo alikuwa hambiliki Wala hasikii cha mtu?? Kumbe kuishi kwenye mahandaki si kazi nyepesi.....we fikiria Toka makombora ya Irani yaanze kurushwa maamake waisrael wote walikuwa kwenye mahandako Kwa siku zaidi ya 12 hawafanyi kazi Wala hawazalishi chochote zaidi ya kupokea vyakula vya misaada toka magharibi...lkn hii hali ingeendelea hadi lini? Letanyahu kaona isiwe shida kamuoomba baba Amerika atulize mpira...shukrani Kwa Iran wamekubaliana hili.
Capabilities wamerudishwa nyuma sana wataalamu wao wengi wa nuclear wameuliwaRegime change imetokea?
Capability ya kutengeneza makombola umeondoka?
😀😀😀😀😀😀Nimecheka sana baada ya kusikia Israel imekubali ceasefire haraka hivyo bila hata masharti yoyote....mbona kule gaza Kwa wanamgambo alikuwa hambiliki Wala hasikii cha mtu?? Kumbe kuishi kwenye mahandaki si kazi nyepesi.....we fikiria Toka makombora ya Irani yaanze kurushwa maamake waisrael wote walikuwa kwenye mahandako Kwa siku zaidi ya 12 hawafanyi kazi Wala hawazalishi chochote zaidi ya kupokea vyakula vya misaada toka magharibi...lkn hii hali ingeendelea hadi lini? Letanyahu kaona isiwe shida kamuoomba baba Amerika atulize mpira...shukrani Kwa Iran wamekubaliana hili.
Iwe walisema au hawakusema, vita yoyote atakayoamua kuipigana Israel dhidi ya Iran, ushindi pekee kwa Israel regime change, bila regime change basi no matter what, credits zote lazima zipelekwe Iran.Israel imefanikiwa kuuwa viongozi wa kijeshi wa iran sio wote ila wengi imewaua
Israel imefanikiwa kuwauwa baadhi ya wataalamu wa nyuklia hii ni achievement kubwa sana
Kumbuka hao waliouliwa ni wale wenye experience kwa hiyo kuwapata tena itachukua mda
Hata ushindi wa iran ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia je iran wameifuta Israel kwenye raman ya dunia???Iwe walisema au hawakusema, vita yoyote atakayoamua kuipigana Israel dhidi ya Iran, ushindi pekee kwa Israel regime change, bila regime change basi no matter what, credits zote lazima zipelekwe Iran.
Hapana, Iran hana huo uwezo anaweza akaihujumu na kuisumbua tu, ila ushindi wa Israel lazima regime ya Iran ibadilike.Hata ushindi wa iran ni kuifuta Israel kwenye ramani ya dunia je iran wameifuta Israel kwenye raman ya dunia???
Wewe ni vipi? mimi sijazungumzia jengo kama jengo nasema kituo cha kitaalamu ambacho kinashikilia No.6 duniani ambazo kinaratibu vinasaba vya makombora na technologia ya Israel (Microsoft) ambacho kiliasisiwa tokea 1930.Kulipua majengo sio achievement hata Hizbollah walilipua majengo mengi sana ila leo hata uongozi wao haujulikani ukoje baada ya wale wazoefu wote kuuliwa na itachukua mda sana kumpata sana mtu kama Nasrallah
Majengo yanajengwa kirahisi ila watu huwareplace kirahisi
Sawa lakn jaribu kukumbuka vita yake na hamasi ...walikuwa wanawakalisha mara kadhaa lakn Israel walendeleza kichapo Kwa hamasi bila kusikiliza ya washauri..Leo hii Iko wapi?? Irondome Iko wapi?????Wote wamekubaliana acha ushabiki
Hiko kituo kitajengwa tu ndani ya mda mfupi sana huwezi fananisha na mtu ambaye anachukua miaka mingi ili apate uzoefuWewe ni vipi? mimi sijazungumzia jengo kama jengo nasema kituo cha kitaalamu ambacho kinashikilia No.6 duniani ambazo kinaratibu vinasaba vya makombora na technologia ya Israel (Microsoft) ambacho kiliasisiwa tokea 1930.
Kulikuwa na ceasefire na hamas mara nyingi tu hata sasa hivi hakuna vita kati ya Israel na hamas vimesimamishwaSawa lakn jaribu kukumbuka vita yake na hamasi ...walikuwa wanawakalisha mara kadhaa lakn Israel walendeleza kichapo Kwa hamasi bila kusikiliza ya washauri..Leo hii Iko wapi?? Irondome Iko wapi?????
Hayo ndo malengo ya ruhola khomein muanzilishi wa Islamic Republic of Iran kuifuta Israel kwenye ramani ya duniaHapana, Iran hana huo uwezo anaweza akaihujumu na kuisumbua tu, ila ushindi wa Israel lazima regime ya Iran ibadilike.
Ceasefire inaratibiwa na nchi nyingi sana ikiwemo Qatar, UAE, Saudi Arabia, Kuwait na wengine ambao hatuwajui ila huku kuna ushabikiHata ile jana iran kurusha makombora doha imeleta taharuki sana inaonekana imechangia kuharakishwa kwa ceasefira
Sahihi kabisa yaaani Qatar tangu wameshituka sana zile missile za irani japo wanasema hazikuleta madhara ila siamini make inaonekana wameumia hawakuamini kilichotokeaCeasefire inaratibiwa na nchi nyingi sana ikiwemo Qatar, UAE, Saudi Arabia, Kuwait na wengine ambao hatuwajui ila huku kuna ushabiki