Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #141
Hebu nipe hiyo sauti ya base nijue nakupa zawadi ganiππΉπΉπΉ Zawadi nini dr?
Nna sauti nyingi ujue
Anataka kibean chako kitoe cheche na hii mvua uwiiiiππKwahiyo unakidalalia kibeans changu kikabagazwe..!! π₯πΉπΉ
Kweli kabisa dear, warembo wenzio tunakuhitaji yanini utolewe ngeu uharibiwe sura, tujifungie zetu sehemu ππ€Hiyo jtano tutashinda tunaloweshana mi kuandamana nilishatangaza wanitoemo,, siwezi kuacha watoto wazuri kama Dr. Mariposa wateseke namna hii
Mabomu hatutoyasikia ni miguno tu na checheπ€£πΉπΉπΉ
Mabomu yakipigwa sijui km hata mtatoa π€£
Njooni tukombeeni nchi then msagano wenu uendelee bila bugudha..!!
Eeh mtolewe chambo kwenye maandamano polisi wanaweza wakajua ni watotoπ€£Kwa hiyo sisi wenye visauti kama vya watoto tukafie mbele?
Thong lainiiiii ya nyavu nyavu,Thongs!!!!!ππππ π
Ningekukaribisha siku usikie besi lakini shida unataka vibesi vya wanawake wenzio πππ
Nyie dunia hii, nachoka kabisa mimi ππ
Rhabhekhaaaaa!!! ππππ
πππππHebu fanya utafute namba yangu unipe zawadi yangu hiyo Dr, sauti ya mamlaka na mahaba sauti ya pili, fanya chap uje ulowane
Sauti nzito bila pesa ni kama vile beberu anangurumaπππ. Haina msisimko banaaaYaan sauti nzito hata kama haina hela inahamasisha,inaleta uvumilivu Fulaniπ₯΄
πππππYaan wa mtaani kwetu wanishindwe wewe wa mtandaoni uweke nadhiri, walai nimecheka sana
Yaan wa mtaani kwetu wanishindwe wewe wa mtandaoni uweke nadhiri, walai nimecheka sana
πππππΉπΉπΉ Zawadi nini dr?
Nna sauti nyingi ujue
πππππSauti nziti bila pesa ni kama vile beberu anangurumaπππ. Haina msisimko banaaa
Mwanaume asipokuwa na pesa hata mazuri yake hayaonekani. Tuseme ukweli tu jamaniπππππ
ππππMwanaume asipokuwa na pesa hata mazuri yake hayaonekani. Tuseme ukweli tu jamani
Sipoiiii kila kona nipoπ€£π€£π€£Ila @Dr Mariposa una heka heka weyeeee..
Lol. πππππ
Kwa kweli, na unajua kuwakeraa waja wa JF.Sipoiiii kila kona nipoπ€£π€£π€£
Umeitika kwa heshima hadi raha lazima una sauti nyororo na umefundwa ukafundikaπ€Rhabhekhaaaaa!!! ππππ
Kwanini Beberu jamani nimecheeeka na zile ndevu za beberu sasaπ€£Sauti nziti bila pesa ni kama vile beberu anangurumaπππ. Haina msisimko banaaa
Unaweza hata kusikia harufu ya kibeberu beberu. Lazima stimu ikate.Kwanini Beberu jamani nimecheeeka na zile ndevu za beberu sasaπ€£