Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

Lakini kwanini uongozi wa misikiti naruhusu hawa wahuni wananing'iniza tunguli mbele ya misikiti? Na unakuta wanauza hadi dawa ya kufukuza majini. Hivi wanafahamu umuhimu wa majini kwa waislamu?
 
Walio kutapeli umewaacha huko unakuja hapa kulalamika tukusaidieje nenda kawaambie huko
 
Walio kutapeli umewaacha huko unakuja hapa kulalamika tukusaidieje nenda kawaambie huko
Mkuu huwa hawakai mahali pamoja. Wanahama kutoka mkoa hadi mkoa na kutoka msikiti hadi msikiti. Ni vigumu kuwapata. Natoa wito kwa serikali inisaidie kuwasaka wahuni hawa.
 
Hawa wanakuwa wamevaa kanzu kabisa mkuu. Inaonekna ni wafia dini. Hawawezi kuuza dawa kwenye makanisa ya makafir
 
Tumia chai ya tangawiz
Juis ya tende
Tikiti Kwa wingi usisahau mazoezi
Polesana πŸ˜ƒ
Asante sana mkuu. Nitafuata ushauri wako kisha nitaleta mrejesho hapa.
 
Wanaziita tiba za kisuni kumbe hamna kitu wanaweza hata kukusagia mavi yao waliyoyakausha
Kweli kabisa. Wanakuwa wameweka pale watu wao wanajichanganya na raia wanajifanya wateja kumbe matapeli wenzao.
 
Mimi nimewaona ila sio tunguli bali madawa na vitabu, tasbihi, kanzu za mtumba nk
Ila kama wakiweka msikitini matunguli sidhani kama wataweka hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…