Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini ana umuhimu gani kwa muislam?Lakini kwanini uongozi wa misikiti naruhusu hawa wahuni wananing'iniza tunguli mbele ya misikiti? Na unakuta wanauza hadi dawa ya kufukuza majini. Hivi wanafahamu umuhimu wa majini kwa waislamu?
Mtoa mada mkristo ila alifika kupata huduma, sasa kajikuta kapigwa ndio kaja kutoa povu hukuWaislamu wanauziana mambo ya kichawi wenyewe kwa wenyewe
Sasa hapo yamemsaidia nini muislam? Kama yenyewe yanamuabudu Mungu binaadam anahusika vipi?Mungu aliumba majini kwa ajili ya kumuabudia. Kasome vizuri korani
Asante mkuu. Kivumbasi ni nn na nachanganya kwa ratio gani mkuu?
😂 😂 😂 😂 ni ukweli..kwa wanawake ushauri ukitaka mumeo asipungukiwe na nguvu za kiume mtii tuu na kumjali...huo ugonjwa hautausikiaKuwa stress free ni major factor wengi hawana shida ya nguvu za kiume shida ni stress mambo yamekuwa mengi na yanazidi kuongezeka
👏👏👏Unapokuwa stress free damu inatembea vizuri
Watu hawana matatizo
Uko sahihi Kuna watu wanaogopa hata kurudi majumbani kwao😂 😂 😂 😂 ni ukweli..kwa wanawake ushauri ukitaka mumeo asipungukiwe na nguvu za kiume mtii tuu na kumjali...huo ugonjwa hautausikia
Wacha kabisa humo ndoani hali si hali..Uko sahihi Kuna watu wanaogopa hata kurudi majumbani kwao
Hakuna Namna unaweza kutenganisha uislam na ushirikina. Wengine hampendi kusikia haya ila Ndio ukweliKila baada ya swala ya Ijumaa utawakuta watu mbele ya misikiti wametundika tunguli, vibuyu na dawa wanazozinadi kuwa zinatibu maradhi mbalimbali ya binadamu. Mara nyingi wanaenda kwenye misikiti ya BAKWATA; ni nadra kuwakuta kwenye misikiti ya Sunni.
View attachment 2935829
Nimebaini hawa watu si waganga wala waganguzi bali ni matapeli wa kutupwa. Baadhi ya magonjwa wanayojinadi kutibu ni nguvu za kiume, bawasili, ngiri, mshipa, kukojoa kitandani, figo, kumrudisha mpenzi aliye mbali, nk. Kabla sijaenda mbali, naomba kuweka wazi kuwa mimi ni mhanga mmojawapo niliyewahi kutapeliwa mchana kweupe.
Siku moja nilipita mbele ya msikiti nikakuta watu wamekusanyika huku katikati yao kukiwa na mwanaume wa makamo aliyekuwa anaongea kwa uhodari sana. Nikasogea karibu kuchungulia kulikoni. Nikamsikia yule mwanaume akijinadi kuuza dawa mbalimbali za asili. Baada ya ushawishi wa kutosha nikanunua dawa moja iliyokuwa katika umbo la unga nikaenda kuitumia kwa mujibu wa masharti ya mganga yule. Baada ya kuitumia ile dawa nakuona haileti matokeo chanya, nikaamua kuifanyia uchunguzi wa kina. Lahaula! Kumbe haikuwa dawa bali unga wa muhogo.
Kwa kweli kitendo kile kiliniuma sana. Fikiria nimelipa fedha nyingi kununua dawa initibu maradhi yangu na usiku ule tayari nilishajiandaa kutest mitambo halafu nakuja kudhalilika mbele ya mpenzi wangu. Tangu siku ile niliwachukia sana hawa matapeli wanaofanya utapeli wao mbele ya misikiti.
MAONI YANGU
Inasikitisha sana jinsi watu wanavyotumia udhaifu wa maradhi kuwatapeli raia kwa kuwauzia dawa bandia misikitini. Hapa asilauimiwe shehe, imamu wala mwadhini. Hawa watu wanauza dawa feki kwa tamaa zao wenyewe. Hawatumwi msikiti, shehe au mtu yeyote.
Aidha, wagonjwa wanaonunua dawa hizi wanasukumwa na maradhi yao na kiranga chao wenyewe. Bawasili ilishakomaa unadanganywa kwamba itapakwa dawa iishe? Umerogwa. Nenda hospitali ukfanyiwe upasuaji. Ni muhimu kabla ya kununua dawa ukajiridhishe kama inafanya kazi au la.
Nawasilisha.