Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Hili ndo swaliInakuaje wanaruhusiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndo swaliInakuaje wanaruhusiwa?
Hili ndo lilikuwa lengo[emoji23]Lakini kwanini uongozi wa misikiti naruhusu hawa wahuni wananing'iniza tunguli mbele ya misikiti? Na unakuta wanauza hadi dawa ya kufukuza majini. Hivi wanafahamu umuhimu wa majini kwa waislamu?
Mada ni nzuri! lakini nahisi kuna kitu kingine nyuma ya pazia, kwanza sio kweli kua wanakua na tunguli, halafu majini wanaumuhimu gani kwa Waislamu?.Lakini kwanini uongozi wa misikiti naruhusu hawa wahuni wananing'iniza tunguli mbele ya misikiti? Na unakuta wanauza hadi dawa ya kufukuza majini. Hivi wanafahamu umuhimu wa majini kwa waislamu?
Mie mwenyewe Muislamu, Qurani imetuambia Hakika ya shetani ni adui kwenu jihadharini nao.Majini yana umuhimu kwa waislamu mkuu. Ngoja nimuite @faizaaje atusaidie hapa.
Shetani na jini ni kitu kimoja.Tunaongea kuhusu MAJINI mkuu. Au na SHETANI naye ametajwa kwenye kohorani?