Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

Maajabu mtanganyika anaidharau nchi ambayo inamsaidia Hadi hela ya kununua dawati za wanafunzi.

Miaka 60 ya Uhuru bado watu wanaumwa malaria, huu muda WA kudharau system ya kifalme na kimalkia ya Uingereza ungeitumia kupendekeza namna gani ya kuiboresha nchi yako
 
Eti kamtu Kako nchi ya dunia ya tatu, nchi ambayo hata maji ya bomba shida,bajeti karibu yote ni hela ya msaada kanaita nchi ambayo inawapa sehemu kubwa ya bajeti Yao primitive! Hio nchi primitive iko mbali yenu miaka 1000
[emoji1][emoji1][emoji1]

Akili za waafrica tuna shida. Ukute kako zake huko Namtumbo kamefanikiwa kupata simu ya Internet kanajiona kako UK
 
Mbona sisi hatuna utawala wa kifalme wakati tumerithi mfumo wa utawala wa mkoloni Mwingereza?
 
Ungeanza kujidharau wewe kwanza kwa kuuendeleza utawala wa CCM.
 
Na wenyewe wanakudharau ile mbaya kwani unatumia fake ID lakini wanakutambua, ngoja siku utie miguu katika ofisi zao utaomba ardhi ipasuke uingie
 
Naunga mkono hoja. Yaani eti kuna familia haifanyi kaI yoyote inaabudiwa na kulindwa na waingereza wote. Bure kabisa hwa watu
Ulimwengu ndivyo ulivyo, hata nchi zenu za Afrika nyingi ni kupeana kama umezaliwa familia ya makapuku kwenye systems hasa kula keki ya Taifa unatakiwa usahau utaishia kupiga kura na kuwa balozi wa nyumba 50
 
Ongezea na brunei Wana maisha safi chin ya ufalme.

Hapa bongo yanadanganywa na wazungu eti demokrasia ambayo Ina matumizi mengi ya kiuendaji kunufaisha watu wachache ,kila kanda Ina chama chake cha siasa watu sio wamoja ,mablaa kibao ,visasi vya kisiasa, kuzushiana uongo na propaganda hamna.

Mtaji wa wanasiasa ni uongo na sio elimu ,hata elimu chini ya siasa inapatikana kwa uwizi uwiz na connection kila mwanasiasa mwanae kafika mbali kwa kuibia mitihani baadae aje kuwa mrithi.. watu wanatumia ngumu nyingi kweny maendeleo binafsi na familia zao kweny mfumo wa demokrasia.

Domekrasia ni scam
 
Thread ifungwe🤝
 
Kwani malkia ana tofauti gani na ccm ungeanza laani utawala wa ccm kwanza, kwamba kwani ni lazima ccm tu ndo itawale?
 
Ulimwengu ndivyo ulivyo, hata nchi zenu za Afrika nyingi ni kupeana kama umezaliwa familia ya makapuku kwenye systems hasa kula keki ya Taifa unatakiwa usahau utaishia kupiga kura na kuwa balozi wa nyumba 50
Nilitegemea kitu tofauti kwao maana niliamini wamestaarabika kuliko sisi
 
Mfumo huu ndo mfumo wa mbinguni na peponi, mifumo mingine ni mifumo ya kishetani, Mungu ni mfalme ndo maana uingereza haina ushenzi unaouona kwenye mataifa kama marekani
 
Ushenzi gani ambao unaona Marekani haupo Uingereza?
Mfumo huu ndo mfumo wa mbinguni na peponi, mifumo mingine ni mifumo ya kishetani, Mungu ni mfalme ndo maana uingereza haina ushenzi unaouona kwenye mataifa kama marekani
 
Maisha safi kwako wewe ni maisha ya aina gani?
 
Mbona sisi hatuna utawala wa kifalme wakati tumerithi mfumo wa utawala wa mkoloni Mwingereza?
Nyerere alifuta utawala wa machifu ili kujilimbikizia Madaraka.

Hao machifu ndio walikuwa watu wenye sauti Kwa watu wao, Leo unawanyang'anya nguvu machifu na kuwapa nguvu hiyo wahuni na walevi kama kina kibajaji ni jambo la kustaajabisha.
 
Mfumo huu ndo mfumo wa mbinguni na peponi, mifumo mingine ni mifumo ya kishetani, Mungu ni mfalme ndo maana uingereza haina ushenzi unaouona kwenye mataifa kama marekani
Wewe ni mjinga ndio sababu huwezi kujuwa Marekani na Uingereza ni nchi moja ila madola tofauti tu.
 
Mbona umeishia kutoa ngonjera za kwenye vijiwe vya kahawa badala ya kutoa japo elimu kidogo ya kile unachokijua?

Itakuwa umememezeshwa na teja mwenzio hicho ulichoandika lkn huna unachokijua na hujui kwamba hujui
Primitive post.
 
House of lords and commons zipo mpka leo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…