Nawadharau sana Waingereza kwa kuendeleza utawala wa Kifalme

Rudi kule ulipowakimbia Pro-Russia wenzako na historia zako za kupika pika zikiwa zimezidishwa chumvi , usije kutolea povu lako huku.
 
Queen Elizabeth Nilimpenda Kwenye Pamba
Alikuwa Anapaika Hatari Sijui Designer Wake Atafanya Kazi Gani Sasa
 
Utawala wa kifalme uingereza hauna athari yoyote as long as democrasia yao ipo imara. Kiongozi wa kifalme ni ceremonial leader, hana mamlaka yoyote ya kiutendaji.
Anayo mamlaka ya kumuaibisha waziri yeyote.
Ana mamlaka ya kupinga spika kama hamuelewi
 
...Unawadharau kuonea Ufahari Mila zao?? Kuna chochote Unapungua ama unaongza Kwa kuachana nao TU???[emoji57][emoji57]
 
Rudi kule ulipowakimbia Pro-Russia wenzako na historia zako za kupika pika zikiwa zimezidishwa chumvi , usije kutolea povu lako huku.
Bwahahahahaha! Pamoja na kupika kwangu kote historia bado unaendelea kunisoma tu.......
Inaelekea wewe jamaa huwa unaniwaza sana kichwani mwako yaaani....
Kama wewe ni mwanaume, basi uko na tatizo kubwa sanaa......
 
Muhimu ni kujing'oa kutoka Jumuiya ya Madola.
 
Vipi ninyi Watanzania kumsimika Rais wenu kuwa Chief Hangaya?
 
inakupasa kujitathimini sio bule kwa mwanadamu alie sawa kiakili kimtazamo hawezi kuchukia maamuzi ya watu ambyo ayamhusu wala kumfaya asifanye mabo yake
 
huo msumali ulio mpigilia kichwana awezi kuuchomoa
 
inakupasa kujitathimini sio bule kwa mwanadamu alie sawa kiakili kimtazamo hawezi kuchukia maamuzi ya watu ambyo ayamhusu wala kumfaya asifanye mabo yake
Unaujua uhistoria ya Ufalme wa Mwingereza?

Inamhusu na kumgusa karibia mtu yeyote duniani sasa hivi.

Tutaelewena hata kama 'rugha' inateleza
 
Inawezekana hata wao wanatudharau kutawaliwa na ccm miaka zaidi ya 60
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wabongo wanafiki sana aseee eti umejua kuniweza Eliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…