Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Rudi kule ulipowakimbia Pro-Russia wenzako na historia zako za kupika pika zikiwa zimezidishwa chumvi , usije kutolea povu lako huku.
Bwahahaha! Humu JF nzima hakuna mtu anayenipenda kama wewe aisee! Unajuwa mabandiko yako nilianza kuyapuuza tangu siku uliposhangaa UDSM kutoa shahada ya utabibu. Nikafahamu kabisa una shida kubwa....
Sasa leo ndiyo nikasema nisome unachoandika walau siku ile ulikuwa umepitiwa. Nilichokutana nacho kimenifanya nicheke, lakini kikubwa zaidi ni kiwango ambacho uko Obsessed na mimi.
Mara ya kwanza nilihisi labda wewe ni mwanamke, maana nimefuatilia na kushangaa kwamba kila nilichowahi kuandika humu JF lazima ulijibu. Sasa kukusoma nikatambua kumbe wewe ni mwanaume. Nimeshangaa sana.....