Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

nilikuwa nasoma comment kimya kimya ila imebidi nikujibu wewe mjinga mmoja usiyekuwa na adabu kwani ndugu wewe umesomea Amerika au unapata wapi nguvu ya kumtukana mwalimu aliyekufundisha kuandika hapa mtandaoni utopolo wako unasema hakuna haja ya kwenda shule aise wewe ungekuwa karibu viboko muhimu ,Sasa Fanya kweli basi watoto wako usiwapeleke kwa watu wasiokuwa na mwelekeo nunua laptop zako wawekee wajifunze hapo nyumbani tuone huo mwelekeo wako wa chooni
 
Wapo wengi nawafahamu wamesoma feza.
Umeongea kuhusu wao kuwa wabunifu ndio ninachohoji hapa huo ubunifu wanaufanyia wapi? Tanzania kama nchi hatuoni ubunifu wowote unaofanyika.
Watu wana akili ndio lakini ubunifu hatuuoni. Inawezekana sijafanikiwa kufahamu that is why nikaomba unitajie bunifu chache ambazo zimefanywa na mtu aliyesoma feza na ambae hajachapwa bakora.
 
Hawa ni fimbo 25 Kila mmoja na kufukuzwa shule basi 🤔huez acha watoto wanafokoana Vinyeo shuleni waje wafokoe na wengine🤔
Akili kama hizi ndizo zinasababisha jamii yote kuamini ualimu ni kutokuwa na uwezo wa kupambanua mambo.

Hakuna sheria yoyote ile inayotamka kwamba mtoto achapwe viboko 25 hata liwe kosa kubwa kiasi gani.

Mtoto ataadhibiwa viboko vinne pekee kwa kosa kubwa kabisa tena liwe la kuidhalilisha shule na adhabu itatolewa na mwalimu mkuu/mkuu wa shule.

Mwalimu wa kawaida hapaswi kutoa adhabu isipokuwa tu kama atapewa ruhusa ya maandishi na mwalimu mkuu/mkuu wa shule ya kutoa adhabu.

Haya mambo ya kutumia hasira badala ya kuzingatia sheria ndiyo yanawaponza walimu wengi na kujikuta matatani.
 
unajiona Genius, chukua watoto wote uwafundishe wewe
Achana nae mwehu mmoja huyo. Hajui malezi analeta uzungu. Mtoto anakuja na simu, mwimgine anamtongoza mtoto wa kike then wanasex wakichukua video. Babaake anakuja anajisifu mwanae beberu.

Kuna mtoto mwingine hana hatia ananajisiwa eti anajiita mtetezi mavi.

Kuna mzaz eti anajifanya anajua utafiti alikuta watoto wananajidiana na wengine wanaiba na kwa sabab ni wanafunzi akawaleta shule.

Wazaz kama hawa hawana akili hawajui kesi ya shule na ya polisi au kata. Mwl sio kwamba hana kazi za kufanya ila wazaz wamemgeuza kama yaya
 
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Hakuna mwalimu mtabe sababu ya uduni wa mishahara, no disrespect nawaheshimu walimu wote tz.
 
Uharibifu wa mali kesi yake ipelekwe polisi, kuhusu kulawitiana hiyo pia ni kesi ya kimaadili kwa shule ambayo adhabu yake ni kufukuza shule ikiwezekana kufunguliwa jalada kituo cha polisi, unadhani viboko ndio vinafanya mwanaume kuwa straight?
 
Sasa chief unakuta mtoto anapigana denda na mwenzie hivi watoto kama utawaacha tu hivo hivo
Kwani denda lako la kwanza ulikula ukiwa na umri gani? Halafu kuwapiga hakusaidii kitu, watakachofanya ni kuhakikisha wamejificha vizuri wakila denda. Wapeleke laboratory kawaonyenye jinsi denda lilivyo na bacteria wengi, amoeba na paramecium nk hawatarudia tena!
 
Hapo mimi lazima ningewapiga vibao kumi kumi vya mashavu, ningewapa hatua 40 kwa 20 za kufyeka, ili genye ziwakate
Huwezi ukashindana na balehe, wazazi na walimu wote wakulaumiwa. Tunamung'unya sana maneno likija suala la kuwaambia ukweli watoto kuhusu kupevuka matokeo yake elimu wanaijua kupitia uzoefu mwisho wa siku balehe inawaendesha kiasi kwamba wanamisbehave
 
hasira za kuchezea mikopo yao wanapeleka kwa wanafunzi

nguo zenyewe zinaonekana za kipindi akiwa mkopo bank imesomesha kwenye akaunt

Mimi simpigi ila atakutwa shimo la choo mdomoni wamejaa funza
 
Mwalimu nakupa mitano tena
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
 
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Hapo shuleni ni private na ww ndio mmiliki wa shule kwanza tujue hlo kama pa serikali better uondoke ww kwanza ulipata low marks ndo ukajiunga hapo huna ulijualo
 
😅😅😅😅😅 sawa waziri
 
Hapo shuleni ni private na ww ndio mmiliki wa shule kwanza tujue hlo kama pa serikali better uondoke ww kwanza ulipata low marks ndo ukajiunga hapo huna ulijualo
Inasikitisha sana mkuu kwamba huyi naye ni mwalimu.

Hata kama walimu wengi wali score low marks ndiyo wakajiunga na ualimu lakini wapo wachache wanaojitambua.

Sasa kama huyu ukute alipata division four ya alama 33 ndiyo akaenda ualimu kwahiyo huwezi kushangaa anachokwambia kwamba anatamani kupigana na mzazi.

Huyo ningejua shule alipo angeingia kwenye mtego tu ili amuadhibu mtoto pasipo kufuata utaratibu halafu nimfikishe kwenye vyombo vya sheria ili ajionee upuuzi wa hasira zake utakapompeleka.

Wapo walimu wajinga kama yeye walikuwa na mentality kama za kwake lakini tuliwaadabisha sasahivi wapo majumbani ni jobless na wengine wameishia jela.
 
Miaka 14 denda la kwanza😹 Ila kumbuka sisi kipind kile tulikuwa waoga sana sio hawa watoto mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…