Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
1741675550907.png

Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu.

Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na shock usoni mwa wanafunzi wanaotazama tukio hili.

Sasa niambieni. Nipate picha au video clip kama hii na huyo hapo anaesulubiwa awe ni mwanangu, mnafikiri nitamfanya nini huyo mwalimu, kumpeleka kwa polisi wetu hawa ambao wengi ni wala rushwa? Ni kosa gani ambalo huyu mwanafunzi anaweza kuwa amefanya kiasi mwalimu amwadhibu kwa ghadhabu na ukatili namna hii - amembaka mama yake?

Walimu wenye tabia hii chukueni tahadhali. Mtaja kutana na watu ambao akili zao zitakuwa kama zenu, na hamtashinda.
 
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
 
hiyo mbona kawaida,

huyo dogo anaonekana msumbufu akichapwa anahangaika
Wewe ni phalla. Utakuwa tas,a maana kama ungekuwa hata na uwezo wa kuzaa tu usingeongea mapupu kama haya.

Mfano huyo mwanafunzi angefariki kwa kipigo hicho bado ungeongea mashudu kama haya?

Afrika ina watu wenye IQ ndogo sana wakiongozwa na wewe.
 
Nimepita huko mkuu, vipigo kama hivyo nimekula sana, ndo maana sishangai.

Ni hatari kweli, lakini huo muamko haupo.
 
Mimi kama mwalimu ukiniletea ushenzi wako tunamalizana kama unavyotaka. Huwa nawataka sana wazazi wapuuzi kama wewe waje shuleni tumalizane. Kama vipi chukua toto lako kalifundishe mwenye nyumbani kwako, sipendagi ujinga
Hata vitu vidogo kama miongozo mbalimbali ya elimu unataka mwanasheria aje akusomee ndiyo uelewe?

Hata Mkuu wa shule/Mwalimu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtoto hovyo kama inavyoonekana hapo isipokuwa kwa utaratibu mgumu hasa.

Binafsi kama mtetezi wa haki za watoto na binadamu kwa ujumla nimesababisha walimu kadhaa kufutwa kazi, kuandikishwa barua rasmi za onyo na wengine kesi zao zipo mahakamani kutokana na ukatili dhidi ya watoto.

Wewe zungumza tu hivyo kwakuwa zamu yako bado haijakufikia lakini siku likikufika hutopata muda wa kuongea mashudu kama haya.

Sijawahi kuwa kucheka na walimu wapumbavu kama wewe badala yake kila shule ninayopita hakuna mwalimu anayeleta ujinga dhidi ya watoto.
 
unajiona Genius, chukua watoto wote uwafundishe wewe
 
Ukatili kwa watoto! Jiulize,hapo anamchapamtoto sehemu gani ya mwili? Anaweza kumpasua ini au figo. Utakuta kosa lake kakosea hesabu mbili, mwalimu anamwadhibu utafikiri yeye kwenye darasa lake akiwa mwanafunzi alikuwa ndio kipanga wa darasa!
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
 
Hata vitu vidogo kama miongozo mbalimbali ya elimu unataka mwanasheria aje akusomee ndiyo uelewe?

Hata Mkuu wa shule/Mwalimu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtoto hovyo kama inavyoonekana hapo isipokuwa kwa utaratibu mgumu hasa.

Binafsi kama mtetezi wa haki za watoto na binadamu kwa ujumla nimesababisha walimu kadhaa kufutwa kazi, kuandikishwa barua rasmi za onyo na wengine kesi zao zipo mahakamani kutokana na ukatili dhidi ya watoto.

Wewe zungumza tu hivyo kwakuwa zamu yako bado haijakufikia lakini siku likikufika hutopata muda wa kuongea mashudu kama haya.

Sijawahi kuwa kucheka na walimu wapumbavu kama wewe badala yake kila shule ninayopita hakuna mwalimu anayeleta ujinga dhidi ya watoto.
mwanao bumunda kama wewe atanyukwa tu mpaka akili zikae sawa
 
unajiona Genius, chukua watoto wote uwafundishe wewe
Kwani kufundisha nayo kazi? Yaani dunia ya leo hakuna hata haja ya mtoto kuhudhuria shule kila siku badala yake anajisomea mtandaoni tu as far as syllabus husika anayo.

Kujisomea mwenyewe unapata majibu sahihi kuliko nyie vilaz,a huko shuleni mnawalisha matango pori watoto.

Watoto wanaenda shuleni kila siku kwasababu mzazi apate muda wa kutosha kufanya shughuli zake nyingine tu lakini kama anakuwa na nafasi anamfundisha tu nyumbani wala hakuna haja ya kwenda kila siku.
 
Unajua
Uliwahi kuona wapi mtu aliyekuwa kipanga wa darasa akawa mwalimu?

Walimu ni watu waliokosa alama za kutosha kwenda kusoma kozi za maana na zenye uzito ndiyo wakaangukia ualimu.

Mkuu hujawahi kusikia mtaani watu wakisema mtoto fulani amefeli hivyo hawezi kusoma kozi zingine labda aende ualimu?

Ualimu ndiyo kazi ambayo hata mtu awe kilaz,a anasoma maana ni kozi ya watu wasio na mwelekeo wa kimaisha hata watoto wanajua hivyo.

Yaani unakuta mwalimu kawapa mtihani watoto lakini hata majibu ya mtihani wenyewe mwalimu na mwanafunzi wote hawajui hadi mtoto akikuletea karatasi zake za mtihani ndiyo unagundua mwalimu kamkosesha mtoto ama kampa tiki sehemu ambayo sio jibu sahihi.
Unajua Nyerere alikuwa mwalimu ?
 
Back
Top Bottom