Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Unaona sasa licha ya wewe kukutana na adhabu za kikatili lakini haikukusaidia chochote badala yake ukaishia tena kuwa mwalimu.😒Miaka ya nyuma tumekula sana hizo stiki tena walimu walikua na misuli kweli kweli 😀😀😀, kwa vitoto vya miaka ya karibuni sishauri sana vichapwe fimbo nyingi afya zao ni mgogoro
Kama adhabu za viboko zingekusaidia maana yake leo ungekuwa hata daktari mwanasheria ama injinia.
Kwahiyo tunarudi kwenye makubaliano kwamba viboko haviwezi kumsaidia mtoto kufikia ndoto zake badala yake kuzungumza kwa smooth language pengine ingemsaidia zaidi mtoto.