Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

shida sio Mimi ni wao kunishirikisha na hii inakuja baada ya kushuhudia mizozano yao mara nyingi

Nikitaka mtoto nitazalisha tu dada angu
 
Dada zangu mkiwa makini kila siku mna mengi ya kujifunza.
Hivi inakuwaje somo Moja mfunzwe Mara mbili ( Nadharia na kwa vitendo ).
#SioMapya
 
Ni kweli lazima tuonekane hatuna akili,umenizalisha kunioa umekataa bado unataka mawasiliano nami ya nini sasa.Mi ukishasema hunihitaji futa kumbukumbu zote zinihusuzo.Damn! Tunaishi Mara moja ......ukiniacha naachika kweli!
Whu do you women sound and so passive..hamko proactive kabisa..kila kitu mnaona mnatendewa nyinyi..tuu..utasikia umenizalisha...mara umeniacha..mara umenitomba au umenichezea ukaniacha..you people mnatakiwa muwe responsible..tumieni hizo akilini zenu zaidi ya kupanua mapaja tuu..sio amekuzalisha mmezaa..sio amekutomba..mmetombana..sio amekuacha mmeachana..ukombozi wenu uanzie huku kwenye lugha..maneno yanaumba.mentality kama hii ni chachu kweny kupata haki sawa mnayoitaka..
 

Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta,ukizidiwa sana na mashambulizi kimbia mji hama kabisa hata hapa Jf usiingie kabisa
 
Pole sana mkuu hakuna jambo zuri na lenye tija kama kuchagua mwanamke sahihi wakuzaa nae. Ukikosea hapo unaenda tesa kizazi chako, kuharibu kizazi chako na kupoteza damu yako kwa kukosa malezi bora yatakayo msaidia mtoto kwenye ukuaji wake.

Unaweza lipa Ada ya shule, pesa za matumizi kila mwezi na wasaa wakumuona mtoto pamoja nakupeleka vizawadi kwa mtoto lakini unakuta bado unaambulia matusi.
 
We umezaa?
 

Hivi nyie wanaume mnaotukanwa na wanawake live live huwa mnaishi sayari gani?
 
Kwani we ukizaa na mwanamke bila kumuoa nini kitatokea....... Pole sana kwa kuwaweka mabinti za watu mimba na kushindwa kuwahudumia..... Njoo ujaribu kwangu uone kama utasimamisha maisha yako yote
 
Mleta maada yuko sahihi kabisa. Juzi juzi nilikuwa nashuruhisha ugomvi wajamaa yangu Moja hivi kazaa na binti moja hivi; asikuambie mtu yule binti ni jeuri hatari.

Alianza kumtukana jamaa, huku akimwamvia usinibabaishe wanaume wako wengi watakusaidia kutunza; jamaa akaona isiwe tabu akakata mrija wa pesa.

Baada ya binti kuonanmambo magumu akatelejeza mtoto; jamaa kuona hivyo akachukua mtoto; hapo sasa ndio vituko vilizidi.

Ninapoandika hivi jamaa anajuta sana maana inamgharimu sana mpaka kufika point ya kuiweka ndoa yake matatani
 
Ni kweli lazima tuonekane hatuna akili,umenizalisha kunioa umekataa bado unataka mawasiliano nami ya nini sasa.Mi ukishasema hunihitaji futa kumbukumbu zote zinihusuzo.Damn! Tunaishi Mara moja ......ukiniacha naachika kweli!
Kuna mwanamke mmoja aliwahi kunipiga chini, akaenda kwa msela mwingine baada ya kuahidiwa ndoa, nikam bless kiroho safi, hatujakaa miezi mingi akaanza oooh mbona siku hizi haunipigii simu, maraa oohooo mbona siku hizi haunitafuti.

Huku na huku akaanza kusema anaomba turudiane wakati huo mimi nishaanza kufukua chimbo lingine lenye mnato wa kutosha, kimoyo moyo nikaishia tu kucheka kihutu kama Magufuli.
 
Unaeleza matatizo yako na mleta uzi yalivyowapata.Ni aidha kwa uzembe wenu au bahati mbaya.Msijumlishe watu wote.Eleza yaliyokukuta ufarijiwe!
 
Kwani mbwa,ng'omne,simba,kuku,nk anapozalishwa nani anamsaidia kulea?
 
We jamaa umetumia lugha kali lakini haibadilishi kuwa uko na point ya maana sana..

Maana hata kwenye suala la akili[wanaume na wanawake], sio kwamba umemchagua hana akili huyo mpenzi. No. Ni wote hamna akili na ndio maana mmechaguana. Tukibadili lugha tutakuwa wote na jukumu katika yote. Slogan inasema 'We [all of us WE] make shit happen, because with great responsibility comes great POWER'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…