Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Pole sana mkuu kwa unayoyapitia...
 
Umemaliza kila kitu..
 
Yaani wanaume siku hizi wanaona sijui fashion kutelekeza watoto..

Mimi nilimwambia kabisa akomeeee kupiga simu eti anamuulizia mtoto wakati kwenye matumizi anaona ahusikiii..

Na kifuatacho, mwanangu akikua nitamwambia babake alifarikiii..

Mnaboaaa sana
 
Dah.. this is too much, mtu yuko hai kabisa then umwambie mtoto babake kashafariki. Usifanye hivyo, kwa maana siku mtoto akikua na kuja kumfahamu yu hai, hiyo chuki ya mtoto itakugeuka aisee lakini pia utamharibu kisakolojia
 
sio kila mtu unafungua mbususu
😂 😂 hili neno linanifurahisha sana japo umenena vyema sana

ofcouse inaumiza sana kutelekezwa, binafsi nimelelewa na mama huku baba akiwa na uwezo wakati ule lakin huwezi amini hakuweza kunisaidia kwa chochote mama yangu alihangaika sana kunisaidia. Leo Mungu kanijalia analalamika eti Namsaidia na kumsikiliza sana mama najiuliza anataka kuvuna nini ambacho hakupanda?

NB;
Wababa Tusikwepe majukumu haijalishi nn tunakutana nacho wanaoumia ni watoto
 
Hawa Mademu wanaotelekezwa hawajitambui 99% haiwezekan Mtu Azae bila Mipango Maisha yenyewe Magumu haya . Mama anaupiga Mwingi.
 
Sawasawa mkuu
 
Asante sana,kuna muda inabidi ujikubali hata kama walimwengu hawakukubali
Sasa mtoto unabaki kumlea peke yako?
Maana ili jamaa ahusike kwenye malezi lazima mawasiliano yahusike, au wewe unafanyaje?
 
Sasa mtoto unabaki kumlea peke yako?
Maana ili jamaa ahusike kwenye malezi lazima mawasiliano yahusike, au wewe unafanyaje?
Ana miaka saba sasa,kwanza aliniambia nitoe nisipotoa nitajijua kulea...nimekomaa mwenyewe saivi simu za namtaka mtoto wangu zimeanza.Litakufa jitu
 
Utakua genius mkuu,natamani nikujue nje ya jamiii forums,ulombozi wafikra wanahitajika Kua nao mamazetu,sio wao Tu amenifanyaje...mara amenifanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…