Nawaonea huruma rafiki zangu, usiombe kuzaa na mwanamke asie na akili

Mm ndivyo nnavyofanywa mkuu, hasa hawa wadada wapwani nibalaa japo sijamuoa Ila nakili kujuta kuzaa nahuyu dada Ila kwavile Ila kwavile kama wanamziki wasemavyo nyama buchani haiwezi kurudi Kua ng'ombe ,kuzaa tushazaa namtoto tunalea hivyohivyo Huku nikopokea vichambo matusi yahapa napale Ila kusema ukweli kuzaa namdada asiye na Akili mtihani mkubwa Sana ,tena nisuala lakumuomba Mungu Tu.
 



Kweli kabisa!

Utasikia Eti “ nimemzalia”

Kwani huwa ni wa bana na mama au Baba peke yake?!
 
Alipata mimba imefika mda wa kuzaa kasema mtoto kafa
[emoji117]Nkamwambia nakuja hapo hospital nione huyo aliekuja Nafika hospital sound nyingi
[emoji117] Mtoto alizaliwa akauzwa kwa ndugu yake dem alikua hana mtoto
[emoji117] Nlijitahid kufatilia nkagonga kwamba nkawaachia.
Maisha yanaenda ila najuata kuzaa na yule kilaza
 
Hivi unajua kuwa haupo financially stable nguvu ya kutomber mpaka umjaze mtu mimba mnatoaga wapi?
Nguvu ya kufanya hivyo haitegemei financial stability ili iwepo, huwa ipo tu.
 
Mwingine huyu Kuna mwanaume kishapoteza damu yake
 
Ana miaka saba sasa,kwanza aliniambia nitoe nisipotoa nitajijua kulea...nimekomaa mwenyewe saivi simu za namtaka mtoto wangu zimeanza.Litakufa jitu
Ni kweli wake ila tu atumie ustaarabu
 
Sio kwa povu hili...kwani shida ni nn?
 
Hao marafiki zako nao wana hiyo akili? usikute nao ni madebe tupu
 
Mtoto aliuzwa kwa ndugu yake??? Au hakuwa na mimbaa??? Muda wote unamuhudumia bila hata kuonana nae live kujua kama ana mimba kweli???
 
Tatizo lenu vijana mnaangalia wanawake wenye mikundu mikubwa ndio mnawapelekea moto mwisho wa siku mnakuja jukwaani hapa na kuanza kulalama mara oh,, demu mwenyewe hana akili pambaneni na hali zenu
 
Kwani we ukizaa na mwanamke bila kumuoa nini kitatokea....... Pole sana kwa kuwaweka mabinti za watu mimba na kushindwa kuwahudumia..... Njoo ujaribu kwangu uone kama utasimamisha maisha yako yote
Dah kweli jamaa yupo sahihi wanawake hamna akili
 
Tatizo lenu vijana mnaangalia wanawake wenye mikundu mikubwa ndio mnawapelekea moto mwisho wa siku mnakuja jukwaani hapa na kuanza kulalama mara oh,, demu mwenyewe hana akili pambaneni na hali zenu
[emoji16][emoji16] si ndio mnawapenda hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…