Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa


Nchi hii,mfumo upi mdada Miaka 20 kamaliza kusoma?
Labda wanaosoma mitaala hiyo mingine sio hii ya kayumba....
Halafu suala la kuzaa watt wengi sshv ,hivi ni kweli Bado wapo wanaume na wanawake wanataka watt wengi miaka hii ?Sina uhakika kwa maisha yapi?
Anyway sshv watu wanazaa tu wakiamua haijalishi umri mkuu
 
Wala hakuna uhalisia wa umri na stress za kuolewa na kupata watoto.

Jamii zetu zimewashape wanawake kuwa kwenye hiyo hali ya stress bila wenyewe kujua.
 
Shida kwa dunia hii ya ss🤷
Watu Bado wanataka watt wengi kweli?

sio kila mtu ana shida. mfano CEO wa NMB ana watoto watano. kwenye ndoa yake

Kuna wanaume wamejipata kiuchumi kila kitu kuanzia kwao tu walipozaliwa kuna makampuni.. sasa huyo nae akioa aogope kupata watoto wengi kisa shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…