bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mwisho ni miaka mingapi ukomo wa kushika mimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika yake kumekucha kumekuchaKumekucha kumekuchaaaa......Wamama hoyeeee....wamama nguvuu.......viva wamama vivaaaa....
Lamomy Tayana-wog Joannah
Ms eyes
Kwenye hii Dunia ya Kila aina ya technolojiaMwisho ni miaka mingapi ukomo wa kushika mimba
Habari wadau.
Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote.
Wanawake wana biological age tofauti na wanaume.
Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba. Waoaji hawaonekani sababu kipindi hicho dada zangu wanakuwa hawana kipato cha kueleweka. Mwanamke Kuolewa mpaka awe na maisha ama kipato kizuri nowdays. Ama huyo dada atoke familia bora mambo safi ndio anaolewa haraka.
Dada zangu wanabaki wanasuburia huku umri unaenda mayai ya uzazi nayo yanazeeeka. Maana hawana hela ya ku ya freeze kama wazungu.
Dada zangu hao hao wakifika 30s kidogo kipato kimesimama simama. Ndio wanaume waoaji wanaibuka na kutaka kuwaoa. Dada zangu hawana hiyana wanaolewa.
Shida kwenye ndoa sasa wanaenda kukutana na lawama kwamba hawazai ama wakijitahidi wanazaa mtoto mmoja tu.
Mwanaume kama unataka familia watoto wengi kwa nini usimuoe dada yangu toka amemaliza chuo wakati yupo early 20s...
Hapo ungemchoka mwenyewe mpaka anafika 30s angekuwa ameshakuzalia watoto hata watatu. Na angekuzalia wengine in her 30s sababu uzazi umeshafunguka mapema kuendelea kuzaa sio ishu kwake
Kumuoa umechelewa mwenyewe halafu unampa lawama kwamba hazai watoto unaotaka.
Wanaume mjifunze wanawake wana biological clock.
Kama tunapenda watuzalie familia kubwa Tuwaoe mapema wakati mayai yao yana nguvu ealy 20s
🤣🤣🤣Yaani hizi topic ss zimekua keroKuolewa na kuzaa sio lazima, achilia kuolewa na kuzaa kwa kuchelewa.
🤣🤣which country is this?
Shida kwa dunia hii ya ss🤷Anachosema ni kweli lakini
Aiseee🤔Ila research yako kujaangalia hao wadada wakiwa 20s wanakuwa hawakamatiki maana wananoga mno....
🤣🤣🤣Ila huyu,utafikiri zimeng’oka kwa kichwa.....unaweza dhani Anton’s huruma kumbe kejeli tu
Kwakweli mi nashangaaWala hakuna uhalisia wa umri na stress za kuolewa na kupata watoto.
Jamii zetu zimewashape wanawake kuwa kwenye hiyo hali ya stress bila wenyewe kujua.
Shida kwa dunia hii ya ss🤷
Watu Bado wanataka watt wengi kweli?
Mungu fundi sana, akishagonga 28 kwisha habari yakeNdio umri wa kusema "sio type yangu"